FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hata mimi huwa najiuliza sana hilo, ila nimegundua wengi wanshabikia timu alizobeti kwenye mkeka wa kamari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wa mpira mmeshindwa kunipa jibu .
Aisee, ngoja niwataarifu moderators .Umesahau kuwa wewe pia ni mshabiki kindakindaki wa mwanamziki fulani Tz mwenye mapozi/swaga za kishoga....
Kabisa mkuuUshabiki wa Mpira NI ugonjwa WA akili kama magonjwa mengine.
[emoji23][emoji23]Mi nahis wanapenda kuona wanaume wenye vipens wakiwa wanarusha pumb** uwanjan
Hicho ndo labda wanachokipenda
Huu ukweli umekugonga kunako. ..... kijana mtanashati toka Sinza.Aisee, ngoja niwataarifu moderators .
Anapenda taarab huyowewe unashabikia nini?
Wewe hupendi?Anapenda taarab huyo
Kwa hiyo unavutiwa na chenga?Kwanza kwa sisi tunaopiga ligi za mchangani kuna utamu wake,mtaa kwa mtaa mnashindana hata kama mnagombania mbuzi.Kuna timu umekulia nayo mtaani unawafahamu nje ndani lazima uwasupport na hutapenda wafungwe na timu nyingine.
Zile draft na chenga ,skills,lazima uvutiwe ,mimi karibia michezo yote napenda hadi riadha
Kwa hiyo unavutiwa na chenga?
Sasa kwa nini mchezaji unayevutiwa na chenga zake akihama timu kwa nini usimfate ili uendelee kufaidi kutazama hizo chenga?Si ndo skills zenyewe,we mbona unapenda masumbwi mambo ya upper cut