Hivi mashabiki wa mpira huwa mnashabikia nini haswa?

Mi nahis wanapenda kuona wanaume wenye vipens wakiwa wanarusha pumb** uwanjan

Hicho ndo labda wanachokipenda
 
Kwanza kwa sisi tunaopiga ligi za mchangani kuna utamu wake,mtaa kwa mtaa mnashindana hata kama mnagombania mbuzi.Kuna timu umekulia nayo mtaani unawafahamu nje ndani lazima uwasupport na hutapenda wafungwe na timu nyingine.

Zile draft na chenga ,skills,lazima uvutiwe ,mimi karibia michezo yote napenda hadi riadha
 
Kwa hiyo unavutiwa na chenga?
 
Si ndo skills zenyewe,we mbona unapenda masumbwi mambo ya upper cut
Sasa kwa nini mchezaji unayevutiwa na chenga zake akihama timu kwa nini usimfate ili uendelee kufaidi kutazama hizo chenga?
 
Back
Top Bottom