THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Ni kweli wa Simba ni mbumbumbu,Hadi mwenyekiti wao alishasemaHapana, mashabiki wa Yanga wako differ labda Sunday Manara na Kikwete
Mbumbumbu maana yake anazo ila sio nyingiNi kweli wa Simba ni mbumbumbu,Hadi mwenyekiti wao alishasema
AahhaaahhMbumbumbu maana yake anazo ila sio nyingi
Yanga hawana kabisa
Tlia wakuvagae😂Hapana, mashabiki wa Yanga wako differ labda Sunday Manara na Kikwete
Obvious✊Mpira duniani kote kwa kwa ujumla unafanana sheria tu, lakini vitu vingi kama uchezaji, hamasa ya mashabiki na uendeshaji wa klabu hutofautiana.
Hao wananimudu kwenye kutukana tu matusi ya nguoni. Ila kwenye hoja, mimi ni zaidi ya Mwenyekiti wao mstaafu Ismail Aden Rage!Mkuu unajiamini waje?😂😂
Ndani ya kikao cha juu kabisa cha maamuzi - MKUTANO MKUUNi kweli wa Simba ni mbumbumbu,Hadi mwenyekiti wao alishasema
AahahahahNdani ya kikao cha juu kabisa cha maamuzi - MKUTANO MKUU
Yanaruka kinyamaMakolo yanaruka na kukanyagana
Huu utani wa ngumiYanaruka kinyama
Utarogwa😂😂Mashabiki wa Simba wako tofauti kidogo wengi wananuka midomo pia elimu zao za kuunga unga wengi ni madalali bodaboda wengi zaidi ni vibaka na matapeli wa mjini.Baadhi wanauza ngada (ngada fc) Kwa wanawake wengi ni malaya (Zuwena) ma maisha yao kiujumla ni ya kuunga unga ma hawana furaha 24/7