Hivi mashabiki wa Yanga mpoje? Simba ikishinda basi hiyo timu nyingi mbovu

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Nashindwa kuelewa akili za mashabiki wa Yanga. Simba ilipodraw mechi zote mbili African football league mashabiki wa Yanga walisema Al Ahly ni mbovu, mwaka jana Simba walipotolewa na Wydad kwa aggregate kuingia nusu, walisema Wydad ya sasa ni mbovu.

Walipoona hivo wakasema Al Ahly tutampasua kwa Mkapa nje ndani, wamedraw na Al Ahly sasa wanasema Al Ahly wa moto lakini tungepangiwa kundi la Simba tungeongeza hilo group.

Wakifunga timu wanasema ipo kwenye pick wamefunga timu bora,wakifungwa wanasema pia ipo kwenye pick ya moto.

Wenzao Simba wakishinda eti wamekutana na timu dhaifu haipo kwenye ubora wake.

Mashabiki gani wa aina hii wakifungwa ooh mpira tumepiga mwingi, wameona hawatoboi kwenye kundi oooh tungekuwa kwenye kundi la Simba tungeongoza kwa point 18.

Hivi hizi ni akili kweli?

Simba kwenye hizi hatua ana uzoefu wa kucheza na mahesabu.
Simba na Yanga kila mtu kwa sasa ana probability ya kuvuka hii hatua.

Tusubiri kama nye ni bora mpige mahesabu vizuri mpite, na Simba nao wapige mahesabu halafu tuone nani ataendelea mbele.
 
Relax...

Lengo mojawapo la ushabiki ni burudani na kumkera mpinzani wako (kwa staha lakini). Bila shaka hata nyinyi Makolo huwa mnamrushia Yanga vijembe kibao. Ndo raha ya ushabiki hiyo na hakuna haja ya kulia lia wala kuanzisha nyuzi 😁😁😁

Screenshot_20231205_115618_WhatsApp.jpg

IMG-20231205-WA0006.jpg
 
Ikiwa wenye Simba wenyewe wanasema ni mbovu wewe unatoa wapi ujasiri wa kuisemea timu ya aina iyo.

Ikiwa kule Cairo Egypt wanachama na mashabiki wa Ahly wanalalamika timu Yao haiko sawa wewe unatoa wapi nguvu ya kutetea!!
Ikiwa Wanachama na mashabiki wa Wydad Casablanca Wana lalamikia kiwango Cha timu Yao inawezekana vipi wewe mbumbumbu uku Tanzania ukawabishia!!

Tuna mashabiki wa ajabu Sana katika mpira wetu, yaani mtu anapambana na ukweli ulio dhahiri kabisa na anajiona yeye Yuko sawa!!!
 
Juzi yanga iliopocheza na Al Ahly je Al Ahly walikuwa bora? Kwahiyo tufanye conclusion Yanga juzi ilikutana na Al Ahly mbovu wakakosa ushindi.
 
Yanga haikua Bora, na Ahly haikua Bora.
Yanga inapambana kutengeneza ubora ambao utaifanya iwe mmbabe wa soka la Afrika.
Itahitaji misimu miwili mpaka mitatu ijayo, kuongeza wataalamu, na wachezji kufikia ubora tunao uhitaji.
 
Tusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na nyie tu, Yanga alipomfunga Tp Mazembe, USMA, na timu zinginezo mlisema kuwa Yanga wamewafunga timu mbovu. Hayo maneno ni kawaida kwa mashabiki wa Tanzania.
Amesahau huyu tukisema tuutafute uzi wa TP Mazembe utakutana na mashudu yake.
 
Nashindwa kuelewa akili za mashabiki wa Yanga. Simba ilipodraw mechi zote mbili African football league mashabiki wa Yanga walisema Al Ahly ni mbovu, mwaka jana Simba walipotolewa na Wydad kwa aggregate kuingia nusu, walisema Wydad ya sasa ni mbovu.

Walipoona hivo wakasema Al Ahly tutampasua kwa Mkapa nje ndani, wamedraw na Al Ahly sasa wanasema Al Ahly wa moto lakini tungepangiwa kundi la Simba tungeongeza hilo group.

Wakifunga timu wanasema ipo kwenye pick wamefunga timu bora,wakifungwa wanasema pia ipo kwenye pick ya moto.

Wenzao Simba wakishinda eti wamekutana na timu dhaifu haipo kwenye ubora wake.

Mashabiki gani wa aina hii wakifungwa ooh mpira tumepiga mwingi, wameona hawatoboi kwenye kundi oooh tungekuwa kwenye kundi la Simba tungeongoza kwa point 18.

Hivi hizi ni akili kweli?

Simba kwenye hizi hatua ana uzoefu wa kucheza na mahesabu.
Simba na Yanga kila mtu kwa sasa ana probability ya kuvuka hii hatua.

Tusubiri kama nye ni bora mpige mahesabu vizuri mpite, na Simba nao wapige mahesabu halafu tuone nani ataendelea mbele.
Wewe unajitekenya na kucheka mwenyewe umemsahau wakati yanga anatoa vichapo mpaka fainali ya shirikisho nyie si ndio mlikuwa mstari wa mbele kusema yanga anafunga vibonde? Kwanini ikiwageukia nyinyi mnaleta ujuaji mwingi? Ebu tulieni uko msitake tufukue zaidi makaburi hapa!
 
Nashindwa kuelewa akili za mashabiki wa Yanga. Simba ilipodraw mechi zote mbili African football league mashabiki wa Yanga walisema Al Ahly ni mbovu, mwaka jana Simba walipotolewa na Wydad kwa aggregate kuingia nusu, walisema Wydad ya sasa ni mbovu.

Walipoona hivo wakasema Al Ahly tutampasua kwa Mkapa nje ndani, wamedraw na Al Ahly sasa wanasema Al Ahly wa moto lakini tungepangiwa kundi la Simba tungeongeza hilo group.

Wakifunga timu wanasema ipo kwenye pick wamefunga timu bora,wakifungwa wanasema pia ipo kwenye pick ya moto.

Wenzao Simba wakishinda eti wamekutana na timu dhaifu haipo kwenye ubora wake.

Mashabiki gani wa aina hii wakifungwa ooh mpira tumepiga mwingi, wameona hawatoboi kwenye kundi oooh tungekuwa kwenye kundi la Simba tungeongoza kwa point 18.

Hivi hizi ni akili kweli?

Simba kwenye hizi hatua ana uzoefu wa kucheza na mahesabu.
Simba na Yanga kila mtu kwa sasa ana probability ya kuvuka hii hatua.

Tusubiri kama nye ni bora mpige mahesabu vizuri mpite, na Simba nao wapige mahesabu halafu tuone nani ataendelea mbele.
unapoyaandika haya ukumbuke ya kombe la luza na sasa mmechukua kocha aliyechukua kombe la luza
 
Mashabiki wa yanga hawana akili
 
Yanga haikua Bora, na Ahly haikua Bora.
Yanga inapambana kutengeneza ubora ambao utaifanya iwe mmbabe wa soka la Afrika.
Itahitaji misimu miwili mpaka mitatu ijayo, kuongeza wataalamu, na wachezji kufikia ubora tunao uhitaji.
Acha kujiabisha boss
 
Nashindwa kuelewa akili za mashabiki wa Yanga. Simba ilipodraw mechi zote mbili African football league mashabiki wa Yanga walisema Al Ahly ni mbovu, mwaka jana Simba walipotolewa na Wydad kwa aggregate kuingia nusu, walisema Wydad ya sasa ni mbovu.

Walipoona hivo wakasema Al Ahly tutampasua kwa Mkapa nje ndani, wamedraw na Al Ahly sasa wanasema Al Ahly wa moto lakini tungepangiwa kundi la Simba tungeongeza hilo group.

Wakifunga timu wanasema ipo kwenye pick wamefunga timu bora,wakifungwa wanasema pia ipo kwenye pick ya moto.

Wenzao Simba wakishinda eti wamekutana na timu dhaifu haipo kwenye ubora wake.

Mashabiki gani wa aina hii wakifungwa ooh mpira tumepiga mwingi, wameona hawatoboi kwenye kundi oooh tungekuwa kwenye kundi la Simba tungeongoza kwa point 18.

Hivi hizi ni akili kweli?

Simba kwenye hizi hatua ana uzoefu wa kucheza na mahesabu.
Simba na Yanga kila mtu kwa sasa ana probability ya kuvuka hii hatua.

Tusubiri kama nye ni bora mpige mahesabu vizuri mpite, na Simba nao wapige mahesabu halafu tuone nani ataendelea mbele.
Hiyo mechi mliyoshinda ni ipi hiyo, ili tuweze kufanya tathmini? Tuanzie hapa kwanza.

Maana kama ni mechi za Kimataifa, hata sikumbuki kwa mara ya mwisho mliifunga timu gani!! Zaidi nimeshuhudia sare nyingi.
 
Hatua ya makundi tumecheza mechi mbili zote draw, sio kama nye mechi mbili mmepigwa moja kwa kishindo na moja draw na point moja mkiwa mkiani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatua ya makundi tumecheza mechi mbili zote draw, sio kama nye mechi mbili mmepigwa moja kwa kishindo na moja draw na point moja mkiwa mkiani

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Kwa hiyo unaona kama timu yako ina unafuu kuliko Yanga siyo!!

Time will tell. Nimekaa pale 👉 😎 nasubiria kwanza matokeo ya mechi 2 zijazo kwa timu zote mbili.
 
Pole sana. Kwa hiyo unaona kama timu yako ina unafuu kuliko Yanga siyo!!

Time will tell. Nimekaa pale [emoji117] [emoji41] nasubiria kwanza matokeo ya mechi 2 zijazo kwa timu zote mbili.
Tusibishane sana,timu yangu kama haina unafuu ikipita usije kusema ni kundi mbovu na nye mna ngumu maana hamchelewagi kujitetea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom