The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kumezuka magenge ya mashehe wanaojifanya kuitetea serikali hata pale wanapopaswa kulaani. Je hawachanganyi dini na siasa au kufanya hivyo ni pale wanapojitokeza wanaoipinga?
Je huu siyo unafiki na undumila kuwili? Je viongozi wa dini wanapomwalika rais au waziri mkuu kuhudhuria mambo yao akachangia mawazo na fedha siyo kuchanganya dini na siasa?
Je inakuwaje wanaposifia hata yasiyopaswa kusifiwa hawachanganyi dini na sisasa? Je unaweza kutenganisha dini na siasa wakati vyote viwili huuza maneno na kuvuna visipopanda?