Uchaguzi 2020 Hivi masikini wataachi lini kutumika kama mitaji ya kisiasa? Je kusaidia masikini vitu, inamfanya vipi mtu kuwa kiongozi mzuri?

Ukiwa masikini hata akili unakosa,fikra zimekorogwa,No power of reasoning

Ndiyo tumefikishwa hapa na ccm
 
Usitegemee ccm ipambane kwa dhati kabisa kutokomeza umasikini na ujinga maana huo ndio mtaji wao kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…