The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
The ...Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja
wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano.
Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti Zanzibar inanyonywa na Tanganyika kwenye huu muungano.
Hofu yangu ni kwamba huku kulialia kwa wazanzibari kwamba wanapunjwa kwenye muungano kutatufanya watanganyika tunyonywe sana kwa kujifanya tunajibu hoja.
Sisi bara ukiongea unaambiwa mbaguzi lakini akiongea mzanzibar inakuwa kero za muunganoNimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja
wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano.
Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti Zanzibar inanyonywa na Tanganyika kwenye huu muungano.
Hofu yangu ni kwamba huku kulialia kwa wazanzibari kwamba wanapunjwa kwenye muungano kutatufanya watanganyika tunyonywe sana kwa kujifanya tunajibu hoja.
Ni uoga wa Nyerere kuhusu sera za ujamaa na ubepari.Angechelewa tu Marekani angepiga Kambi pale!The ...
Kuna anaeyafahamu maslahi ya Tanganyika kusaidia mapinduzi 1964 na kuungana na Zanzibar anieleweshe?
Kiongozi, kwanza naona unataka kuchepusha mada, hii sio sawa.The ...
Kuna anaeyafahamu maslahi ya Tanganyika kusaidia mapinduzi 1964 na kuungana na Zanzibar anieleweshe?
Yanatetewa na watanzania,tanzania ndio tanganyika yenyewe.Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja
wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano.
Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti Zanzibar inanyonywa na Tanganyika kwenye huu muungano.
Hofu yangu ni kwamba huku kulialia kwa wazanzibari kwamba wanapunjwa kwenye muungano kutatufanya watanganyika tunyonywe sana kwa kujifanya tunajibu hoja.
The ...
Kuna anaeyafahamu maslahi ya Tanganyika kusaidia mapinduzi 1964 na kuungana na Zanzibar anieleweshe?
Ni Kwa sababu za kiusalama nadhani hilo ndo tulilonufaika nalo mpaka leo. Tanganyika inaiogopa sana Zanzibar kiasi cha kuendelea kung'ang'ania muungano hapo hauinufaishiThe ...
Kuna anaeyafahamu maslahi ya Tanganyika kusaidia mapinduzi 1964 na kuungana na Zanzibar anieleweshe?
Mfano hai ni Tundu LissuNimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja
wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano.
Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti Zanzibar inanyonywa na Tanganyika kwenye huu muungano.
Hofu yangu ni kwamba huku kulialia kwa wazanzibari kwamba wanapunjwa kwenye muungano kutatufanya watanganyika tunyonywe sana kwa kujifanya tunajibu hoja.
Suluhisho pekee lililobaki kutokana na janga hili la Muungamo wa Tanganyika na Zanzibar ni moja tu: Aidha, kuunda Muungamo wa Serikali moja, Au, Kuuvunja Muungamo wenyewe uliopo hivi Sasa na Kila upande ubaki na hamsini zake.Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja
wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano.
Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti Zanzibar inanyonywa na Tanganyika kwenye huu muungano.
Hofu yangu ni kwamba huku kulialia kwa wazanzibari kwamba wanapunjwa kwenye muungano kutatufanya watanganyika tunyonywe sana kwa kujifanya tunajibu hoja.
Soma Hoja za Koti la Muungano kwa maoni ya wazanzibar. Muungano huu umekuwa complex mno ingawaje kila mtu anaona manufaa yake kiudugu nadhani hoja hapa ni ule mfumo tu kubaini ni upi unao faa zaidi kwa vile kila upande una malalamiko yake.Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja
wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano.
Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti Zanzibar inanyonywa na Tanganyika kwenye huu muungano.
Hofu yangu ni kwamba huku kulialia kwa wazanzibari kwamba wanapunjwa kwenye muungano kutatufanya watanganyika tunyonywe sana kwa kujifanya tunajibu hoja.
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja
wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano.
Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti Zanzibar inanyonywa na Tanganyika kwenye huu muungano.
Hofu yangu ni kwamba huku kulialia kwa wazanzibari kwamba wanapunjwa kwenye muungano kutatufanya watanganyika tunyonywe sana kwa kujifanya tunajibu hoja.
Kwa hiyo Okello alikuwa Mtanganyika????🤔🤔The ...
Kuna anaeyafahamu maslahi ya Tanganyika kusaidia mapinduzi 1964 na kuungana na Zanzibar anieleweshe?
Ugandan. So what?Kwa hiyo Okello alikuwa Mtanganyika????🤔🤔
Duuuh!!! Tsh..Maslahi ya mwanaume tena mjeshi anapokosa haki zake kutoka kwa mkewe husemewa na nani? Tukitumia mfano wa ndoa, Zanzibar ni kama mke wa Tanganyika na kama unavyojua mke mara nyingi hupigania haki kuliko mume.
Kwani nimesema uongo ndugu yangu?Duuuh!!! Tsh..
Mada inahusu maslahi ya Tanganyika kwenye huu muungano inatetewa na nani? Au unakusudia kusema kwamba Tanganyika ilifadhili mapinduzi hivyo imetosheka haina inalotaka toka kwa wazanzibari kama ambavyo ambavyo wazanzibari wamekuwa wakilalamikia mambo mengi!?The ...
Kuna anaeyafahamu maslahi ya Tanganyika kusaidia mapinduzi 1964 na kuungana na Zanzibar anieleweshe?
Tundu Lissu kaisha toa majibu, CCM na serikali yake wamenyamaza, wanakimbilia tu kwenye chaka ka Ubaguzi. Ifike mahala sisi kama sisi watanganyika tujiamulie mambo yetu wenyewe kama wao.Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja