Hivi matatizo yanaonaga pesa?!

Hivi matatizo yanaonaga pesa?!

Hahahaaaaa nimecheka kwa sauti.

Sijui yapoje matatizo aisee, usipokuwa na la hela hayaji.Mara paaaap umepata yatamiminika hayoooo ohooo. Pole mkuu
 
Alafu kuna kina wale huna hela matatizo lukuki ukipata tu pesa zinaishia kusolve matatizo au kulipa madeni uliyokopa ili usolve matatizo [emoji28][emoji28]
nimetoka kutumia 700k within a hour hakuna ujinga mbaya ,kama kuweka hela kwenye simu/bank alafu ukawa ba app [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nimetoka kutumia 700k within a hour hakuna ujinga mbaya ,kama kuweka hela kwenye simu/bank alafu ukawa ba app [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani watu hawajuagi tu ila inamaliza pesa kizembe sana, sim bank sio kabisa ya kuwa nayo
 
Back
Top Bottom