Hivi matatizo yanaonaga pesa?!

Hivi matatizo yanaonaga pesa?!

Wakati huna pesa yametulia tuli,pata pesa Sasa utasikia Bibi kameza chemli huko kijijini😄

Hii sayari yetu yatatu hii imekaa kimichongo Sana😬
Heri yako yanakuja ukiwa na pesa unasolve, usiombee yaje halaf hauna pesa wenzako mpaka wanatokosa watoto
 
Back
Top Bottom