Hivi mawaziri wa michezo wako kwenye mgomo au?

Hivi mawaziri wa michezo wako kwenye mgomo au?

Ambaye kasema Manchester hata yenyewe haijachukua ubingwa wa mji wao kwa siku nyingi.
Mie sikumuelewa, naomba msaada wa kueleweshwa!
Mambo yake huwa anayaelewa mwenyewe,hata watetezi wake wenyewe hawamuelewi zaidi ya kufata mdundo tu
 
Itakua waziri husika na naibu wake “bi, shakunaku”
Hawana MVUTO/ makalio makubwa hivi kwa Rais wetu anaemini katika MAKALIO ya BASHITE kuwa CCM STARS ingecheza FAINAL AFCON2019
 
Ambaye kasema Manchester hata yenyewe haijachukua ubingwa wa mji wao kwa siku nyingi.
Mie sikumuelewa, naomba msaada wa kueleweshwa!
Mkuu huwezi kuamini mpaka sasa bado hakuna mtu aliemuelewa😬😂😂
 
Tangu taifa stars iende afcon sijaona waziri au naibu wake wakiongelea timu ya taifa au wamemuachia ukumbi mwenyekiti bashite afanye yake? Kwani wao si ndiyo wenye izo ilani za kutekeleza au wamepiga kimgomo kimya kimya kwa uoga?
Mwakyembe na Shonza hawana interest na hayo mambo. Walipewa hizo posts ili kujaza nafasi ila uhalisia ni kwamba wao wenyewe hawana Passion na hayo mambo.

Sambamba na hilo utaona hata boss wao baba jei sio mtu wa kupenda michezo ndio maana amemuachia hayo mambo bwana Makonda ambaye nae anaongea ujinga ujinga tu.
 
Ambaye kasema Manchester hata yenyewe haijachukua ubingwa wa mji wao kwa siku nyingi.
Mie sikumuelewa, naomba msaada wa kueleweshwa!
ndo aliongea hvo?
IMG_20190705_145822.jpg
 
Back
Top Bottom