kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Mambo yake huwa anayaelewa mwenyewe,hata watetezi wake wenyewe hawamuelewi zaidi ya kufata mdundo tuAmbaye kasema Manchester hata yenyewe haijachukua ubingwa wa mji wao kwa siku nyingi.
Mie sikumuelewa, naomba msaada wa kueleweshwa!