Hivi Maxence Melo angekuwa msanii angekuwa mbana pua au angekuwa anachana?

Hivi Maxence Melo angekuwa msanii angekuwa mbana pua au angekuwa anachana?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wakuu.

Hivi ndio kwa mfano huyu mwamba anayekwenda kwa jina la Max angekuwa msanii angechana au angebana pua?

Muziki wa mduara angeuweza kweli huyu mwana maana ana sura ya upole sana aisee.!

Dah! Bora tu abaki tu huku kwenye internet

Masuala ya hip-hop kufoka foka asingeweza kabisa

LONDON BOY
Maxence2.500.Credit.Jamii.Forums.jpeg
 
Aman iwe nanyi wakuu

Hivi ndio kwa mfano huyu mwamba anayekwenda kwa jina la Max angekuwa msanii angechana au angebana pua?

Mziki wa mduara angeuweza kweli huyu mwana maana ana sura ya upole sana aisee.!

Dah bora tu abaki tu huku kwenye internet

Masuala ya hip-hop kufoka foka asingeweza kabisa

LONDON BOY
View attachment 1265415

Duniani wawili wawili!
images (7).jpeg
 
Duh ebhn unauthubutu. Umeamua tu kumchokoza mwenye nyumba
 
Back
Top Bottom