Hivi Maxence Melo angekuwa msanii angekuwa mbana pua au angekuwa anachana?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wakuu.

Hivi ndio kwa mfano huyu mwamba anayekwenda kwa jina la Max angekuwa msanii angechana au angebana pua?

Muziki wa mduara angeuweza kweli huyu mwana maana ana sura ya upole sana aisee.!

Dah! Bora tu abaki tu huku kwenye internet

Masuala ya hip-hop kufoka foka asingeweza kabisa

LONDON BOY
 

Duniani wawili wawili!
 
Duh ebhn unauthubutu. Umeamua tu kumchokoza mwenye nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…