Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Ebu ngoja nikae kwahapaView attachment 1265466
Max sio dikteta kiasi hicho [emoji23][emoji23]Naona unatafuta ban
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ndio umepatiaAnafaa kuwa kiongozi wa kwaya
Ahahahah..Umenikumbusha enz niko tosa kuna mdau mwenzet form 5 alimshushia kichapo second master kuanzia bwenn halaf akamvizia tena assemble ..dah..nikaona dooh!!! Huu sio ujasir wa kawaidaNyie ndio hamumuogopagi head teacher wala mkurugenzi
Namkubali sana huyu jamaa.. enz nikiwa teenger nakumbuka nilishawah kukimbizia gar kwa miguu ikiwa imewabeba east cost inawatangaza.It was 2003 maeneo ya mkwawa high school (kabla hakijawa chuo).Duniani wawili wawili!
View attachment 1265462
Kwa kosa lipi?Naona unatafuta ban
Namkubali sana huyu jamaa.. enz nikiwa teenger nakumbuka nilishawah kukimbizia gar kwa miguu ikiwa imewabeba east cost inawatangaza.It was 2003 maeneo ya mkwawa high school (kabla hakijawa chuo).
Sijui kapotelea wap siku hiz
Hao wangeimba mipashoBeira Boy,
Nami nauliza,Jiwe au Makonda wangekua wasanii wangekua hiphop au wabana pua?