Hivi Mbeya ni Tanzania? Nimekuta Vumbi la kutisha kama Jehanamu. Narudi Iringa

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Eti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣

Siwezi kulala Mbeya... Usiku huu Nageuza Iringa.. Ntalala mbele kwa mbele japo hata Makambako..

CCM mumelaaniwa..

Kwanini huyu Mzanzibari Samia anawadhalilisha Mbeya? Wamemkosea nini?

Halafu vumbi la Mbeya likaa kwenye Kope na mabegani..

Mbeya Matako yenu. Kwanini hamsemi kama kuna Vumbi hivi?


Your browser is not able to display this video.
 
Wewe unaongea tu,fanya utafiti kwanza ili uone miradi inayotekelezwa Mbeya,utaabika.Vumbi hata Zenji lipo,Dar lipo huko Iringa kwenye lipo
 
Mara ya kwanza nafika Mbeya mwaka 2023 nilipachukia sana kutokana na vumbi na mpangilio mbovu wa mji
Baada ya kuishi Mbeya miaka mitatu mfululizo nimetokea kupapenda tu na sijui kwa nini. Kusema kweli Mbeya imepangwa hovyo na kuna vumbi especially along barabara kuu ila nimekuja kugundua sio sehemu mbaya kuishi

Mbeya ipo hivi kwa sababu ya uzembe wa serikali na kuiacha nyuma as if sio Tanzania. Uzuri Mbeya inazidi kukua hata bila mchango mkubwa wa serikali

 
Miji mingi Afrika haitofautiani sana.Changamoto yetu tumejaaliwa nongwa kama gunia kumi.
 
Mji kukua tu shaghalabagala haina maana yoyote, mji unatakiwa ukue kwa mpangilio.
 
Mji kukua tu shaghalabagala haina maana yoyote, mji unatakiwa ukue kwa mpangilio.
Mpangilio ni mpaka serikali itakapokua serious, sio sasahivi
Halafu ipo mitaa mingi tu Mbeya kama Maziwa, Iwambi, JB, Isyesye nk inakua kwa mpangilio
Maeneo kama Mwanjelwa ni ujenzi wa maghorofa kadhaa kwa ajili ya biashara ambayo nayo hayajengwi shaghalabaghala
Mpangilio mbovu unaoona Mbeya ni asilimia kubwa ya jiji kuwa ni slums, maeneo ambayo yameshajengwa tayari, na sio mitaa mipya. Hiyo mitaa ya zamani ambayo ndio imechukua asilimia kubwa ya Mbeya ndio iko hovyo, na sijui waifanyaje, kama ni kubomoa au kufanya slum upgrade, sijui, ila sitegemei CCM kuja na mpango wowote kufix hiyo mitaa
Lakini kusema tu jiji la Mbeya lote linakua bila mpangilio ni overgeneralization na sio sahihi. Sijaona mimi mtaa mpya unaojengwa kiholela. Yote ni ya zamani
 
Atayesema Mbeya kuna vumbi basi atakua hajafika Dodoma na Manyara.

Vumbi la Mbeya kuna maeneo haulikuti. Ila hiyo mikoa miwili ni ile unatoka nje kwenda dukani ukarudi ndani unarudi na share yako ya vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…