Hivi Mbeya ni Tanzania? Nimekuta Vumbi la kutisha kama Jehanamu. Narudi Iringa

Nasikia bado kuna nyumba za matope mjini!
Yeah, zipo nyingi sana
Ndio hizo ninazosemea zimejengwa kitambo, na zimejaa sehemu kubwa. Labda wazibomoe au wazipake rangi ila kuzibadilisha ni ngumu sana
Tumaini pekee la Mbeya ni majengo yanayojengwa sasa, kwa sababu sikuhizi watu hawajengei matope kwenye neighborhood mpya
Pia sehemu za biashara Kabwe na Mwanjelwa wanabomoa majengo ya ajabu na maghorofa mapya yanajengwa.
 
Hiyo ni barabara inapanuliwa kuwa njia nne ndio maana vumbi limeongezeka. Kutokana na asili ya ardhi ya Mbeya, ukifanya tu shughuli za kibinadamu kama ujenzi wa barabara, vumbi linakuwa jingi sana. Na kwa kuwa ujenzi wa barabara unasuasua, speed ya ujenzi ni ndogo kutakuwa na vumbi sana mpaka siku itakapokamilika
Kama ingekuwa mikoa mingine, the same project ingefanyika bila kuwa na vumbi kali, ila Mbeya ardhi yake ina udongo mwepesi kama cement ukikauka, kwa hiyo vumbi linakuwa la kutosha
Angalia close look ya ardhi ya Mbeya, ikiwa disturbed kidogo tu na human activities
Hii picha ya tatu ndio hiyo barabara inayopanuliwa, inaaccount karibia 70-80% ya vumbi ndani ya Mbeya
PXL_20260512_104503646.jpg
PXL_20260512_103739264.jpg
PXL_20260512_103406696.jpg
 
Eti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣

Siwezi kulala Mbeya... Usiku huu Nageuza Iringa.. Ntalala mbele kwa mbele japo hata Makambako..

CCM mumelaaniwa..

Kwanini huyu Mzanzibari Samia anawadhalilisha Mbeya? Wamemkosea nini?

Halafu vumbi la Mbeya likaa kwenye Kope na mmapegani..

Mbeya Matako yenu. Kwanini hamsemi kama kuna Vumbi hivi?
View attachment 3590399
Hiyo kigoma sio mbeya
 
Mara ya kwanza nafika Mbeya mwaka 2023 nilipachukia sana kutokana na vumbi na mpangilio mbovu wa mji
Baada ya kuishi Mbeya miaka mitatu mfululizo nimetokea kupapenda tu na sijui kwa nini. Kusema kweli Mbeya imepangwa hovyo na kuna vumbi especially along barabara kuu ila nimekuja kugundua sio sehemu mbaya kuishi

Mbeya ipo hivi kwa sababu ya uzembe wa serikali na kuiacha nyuma as if sio Tanzania. Uzuri Mbeya inazidi kukua hata bila mchango mkubwa wa serikali
View attachment 3590426View attachment 3590427View attachment 3590428View attachment 3590429View attachment 3590430
View attachment 3590431View attachment 3590432View attachment 3590433
Ikitokea nikakuomba kibali cha kuipiga picha gari yangu kaka urakuwa nacho ?
Au nikupeleke utengule ubadili mlo wako kutoka mapochopocho yako mpaka ugali maharagwe ?
 
Eti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣

Siwezi kulala Mbeya... Usiku huu Nageuza Iringa.. Ntalala mbele kwa mbele japo hata Makambako..

CCM mumelaaniwa..

Kwanini huyu Mzanzibari Samia anawadhalilisha Mbeya? Wamemkosea nini?

Halafu vumbi la Mbeya likaa kwenye Kope na mmapegani..

Mbeya Matako yenu. Kwanini hamsemi kama kuna Vumbi hivi?
View attachment 3590399
CCM inawatesa mbeya makusudi. Je hao wakandarasi hawana water 💦 💦 Bowser?
 
Mara ya kwanza nafika Mbeya mwaka 2023 nilipachukia sana kutokana na vumbi na mpangilio mbovu wa mji
Baada ya kuishi Mbeya miaka mitatu mfululizo nimetokea kupapenda tu na sijui kwa nini. Kusema kweli Mbeya imepangwa hovyo na kuna vumbi especially along barabara kuu ila nimekuja kugundua sio sehemu mbaya kuishi

Mbeya ipo hivi kwa sababu ya uzembe wa serikali na kuiacha nyuma as if sio Tanzania. Uzuri Mbeya inazidi kukua hata bila mchango mkubwa wa serikali
View attachment 3590426View attachment 3590427View attachment 3590428View attachment 3590429View attachment 3590430
View attachment 3590431View attachment 3590432View attachment 3590433
Safi sana mkuu
 
Eti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣

Siwezi kulala Mbeya... Usiku huu Nageuza Iringa.. Ntalala mbele kwa mbele japo hata Makambako..

CCM mumelaaniwa..

Kwanini huyu Mzanzibari Samia anawadhalilisha Mbeya? Wamemkosea nini?

Halafu vumbi la Mbeya likaa kwenye Kope na mabegani..

Mbeya Matako yenu. Kwanini hamsemi kama kuna Vumbi hivi?
View attachment 3590399
mkataa kwao ni mtumwa gentleman,

unafanya utalii wa ndani na boda sio mwanaume?🐒
 
Eti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣

Siwezi kulala Mbeya... Usiku huu Nageuza Iringa.. Ntalala mbele kwa mbele japo hata Makambako..

CCM mumelaaniwa..

Kwanini huyu Mzanzibari Samia anawadhalilisha Mbeya? Wamemkosea nini?

Halafu vumbi la Mbeya likaa kwenye Kope na mabegani..

Mbeya Matako yenu. Kwanini hamsemi kama kuna Vumbi hivi?
View attachment 3590399
Hao mbona kama waha
 
Me nadhani suala la vumbi ni kawaida kwenye huo Mkoa, useme tatizo kubwa ni hilo la uduni wa miundombinu ya barabara za lami

Ukianzia Igawa hadi Tunduma, barabara ni za hovyo mno

Mashimo ni kama yote, mbaya zaidi ndiyo barabara inayounganisha Tanzania na Nchi za Malawi, Zambia, DRC, Zimbabwe hadi South Africa 🙌

Tuwe wakweli tu, Serikali ni kama haina nia ya dhati ya kuboresha miundombinu ya barabara hiyo kuu

Maana tangu waseme wanaipanua hiyo barabara, ni miezi mingi imepita huku Mkandarasi akiwa hayupo site na wananchi wakiachiwa hilo vumbi na makorongo ya kutosha
 
Exactly umeongea akili yangu kabisa
Shida ya Mbeya ni miundombinu duni. Mfano barabara miaka yote barabara imekuwa njia mbili tu, halafu ni poor quality ukilinganisha na jinsi ilivyo busy. Matokeo yake barabara imechoka mbaya, yani imechimbika, imeisha kabisa na huku kuipanua kuwa njia nne wanaipanua kwa speed ya konokono ndio maana vumbi limeongezeka sana mjini
Yani licha ya umuhimu wa Mbeya kwenye pato la taifa, serikali inapapuuzia. Pia Mbeya ni jiji hai, bado linaendelea kukua kila siku meaning linahitaji kupata miradi mipya na maboresho kila siku ila wanaliacha tu kama vile sio Tanzania. Yani ukifika Mbeya ndio utaelewa kwa nini Watanzania wanailalamikia serikali. Kuna vitu vingine sio makosa ya raia, ni viongozi ila CCM hawawezi kukubali kuwa wanazingua ila wao ndio sababu Mbeya ipo hivi. Nchi ingekuwa na viongozi wazalendo wenye IQ kubwa Mbeya isingekuwa hivi
 
Ukiangalia uchangiaji wa Mkoa wa Mbeya kwenye pato la Taifa ni Mkubwa alafu kwenye miundombinu inatengwa

Hebu fikiria ni kiasi gani cha Fedha TRA inakusanya kwenye madini kule Chunya

Au kwenye kodi ya forodha pale mpakani Tunduma

Ama kwenye mazao ya chai, kokoa, mpunga pale Mbarali n.k

Ingetumika ile idea ya Chadema ya Serikali ya majimbo, huenda hiyo shida ya barabara isingekuwepo Mbeya
 
Umeongea kwa uchungu sana. Mbeya inasalitiwa
 
Back
Top Bottom