hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😁😁😁😁Kuna vyeo vingine hii tabia ilianza CCM.Yani leo babu tale ni dokta na ndio haya ya mbeya kuwa jiji
😁😁😁😁Kuna vyeo vingine hii tabia ilianza CCM.Yani leo babu tale ni dokta na ndio haya ya mbeya kuwa jiji
Pia Mbeya maeneo yaliyojengeka vizuri hayapo pembezoni mwa barabara, yamejificha ndaniNlipita nkiwa naelekea Zambia ni pa hovyo kwelikweli
Hahaha,Mbeya, kigoma na Singida ndio makao makuu ya vumbi Tanzania 🇹🇿
idadi ya watuKuita JIJI alafu kumekosa miundo mbinu wala mpangilio hapo ndio na jiuliza au wanaangalia makadirio ya TRA walichokusanya.
Mbeya haikwepeki ni kama maji tu, usipoyanywa utayaoga. Usipoyaoga utayajengea nyumba na usipoyajengea utayatumia kama njia ya usafiri.ChoiceVariable na Stuxnet watalia kwa uchungu sana wakiona post yako.
Eti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣
Siwezi kulala Mbeya... Usiku huu Nageuza Iringa.. Ntalala mbele kwa mbele japo hata Makambako..
CCM mumelaaniwa..
Kwanini huyu Mzanzibari Samia anawadhalilisha Mbeya? Wamemkosea nini?
Halafu vumbi la Mbeya likaa kwenye Kope na mmapegani..
Mbeya Matako yenu. Kwanini hamsemi kama kuna Vumbi hivi?
View attachment 3590399
Hahaha,
Ongeza hapo Dodoma

This is crime against humanity😁
Dodoma mjini hakuna vumbi la kutisha.Atayesema Mbeya kuna vumbi basi atakua hajafika Dodoma na Manyara.
Vumbi la Mbeya kuna maeneo haulikuti. Ila hiyo mikoa miwili ni ile unatoka nje kwenda dukani ukarudi ndani unarudi na share yako ya vumbi
😂😂😂😂Mbeya, kigoma na Singida ndio makao makuu ya vumbi Tanzania 🇹🇿
Nasikia bado kuna nyumba za matope mjini!Pia Mbeya maeneo yaliyojengeka vizuri hayapo pembezoni mwa barabara, yamejificha ndani
Huku along the road ndio uswazi umejaa left and right kwa hiyo ukikatiza kwenda Zambia hutaona chochote cha maana
Mbeya can't be a city.. it is an affiliated municipalEti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣