Sio Mbeya tu hata huku Mwanza tumesahaulika, lakini hii hawamu Mwanza na Mbeya miradi tutaisikia kwenye radio tu.Eti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣
Siwezi kulala Mbeya... Usiku huu Nageuza Iringa.. Ntalala mbele kwa mbele japo hata Makambako..
CCM mumelaaniwa..
Kwanini huyu Mzanzibari Samia anawadhalilisha Mbeya? Wamemkosea nini?
Halafu vumbi la Mbeya likaa kwenye Kope na mabegani..
Mbeya Matako yenu. Kwanini hamsemi kama kuna Vumbi hivi?
View attachment 3590399
View attachment 3590526
ndrriiiyo gentleman au nakosea?🐒🤣🤣🤣🙄 wote, aaisee !
sana tu !ndrriiiyo gentleman au nakosea?🐒
Wewe ulikuwa unapondea skyline ya Dar CBD and the likes halafu ulitaka watu wa support upuuzi wako, maana ulikuwa unajua kabisa Negative comments attract attentionZizi la ng'ombe hilo ,Halafu kuna siku nilikuwa nachangia mada nikisema Tanzania haina majiji bali mazizi kuna majiji majitu yakawa yanapinga na kuandika shit humu .Upumbavu Sana
Ama kweli... Kabla haujafa, haujaumbika.
Picha nzuriMara ya kwanza nafika Mbeya mwaka 2023 nilipachukia sana kutokana na vumbi na mpangilio mbovu wa mji
Baada ya kuishi Mbeya miaka mitatu mfululizo nimetokea kupapenda tu na sijui kwa nini. Kusema kweli Mbeya imepangwa hovyo na kuna vumbi especially along barabara kuu ila nimekuja kugundua sio sehemu mbaya kuishi
Mbeya ipo hivi kwa sababu ya uzembe wa serikali na kuiacha nyuma as if sio Tanzania. Uzuri Mbeya inazidi kukua hata bila mchango mkubwa wa serikali
View attachment 3590426View attachment 3590427View attachment 3590428View attachment 3590429View attachment 3590430
View attachment 3590431View attachment 3590432View attachment 3590433
Hili vumbi ni la kupanda gari ya wazi nyuma sio la waenda kwa miguu ndio Mbeya ina vumbi ila sio la namna hii hapo Kabwe..
NaongezeaMbeya, kigoma na Singida ndio makao makuu ya vumbi Tanzania 🇹🇿
Eti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣
Siwezi kulala Mbeya... Usiku huu Nageuza Iringa.. Ntalala mbele kwa mbele japo hata Makambako..
CCM mumelaaniwa..
Kwanini huyu Mzanzibari Samia anawadhalilisha Mbeya? Wamemkosea nini?
Halafu vumbi la Mbeya likaa kwenye Kope na mabegani..
Mbeya Matako yenu. Kwanini hamsemi kama kuna Vumbi hivi?
View attachment 3590399
View attachment 3590526
Kwani siku hizi Dodoma na Shinyanga hamna vumbi???Mbeya, kigoma na Singida ndio makao makuu ya vumbi Tanzania 🇹🇿
Hawa mabwege wana wivu tu na Mbeya yetu. Hata Dar kuna vumbi piaKwani siku hizi Dodoma na Shinyanga hamna vumbi???
Ungeandika bila kutumia hii lugha, ungeeleweka pia. Hata kama maisha magumu, punguza makasirikoHawa mabwege
Vipi walishajifungua hawa watu?ChoiceVariable na Stuxnet watalia kwa uchungu sana wakiona post yako.