Ni mabwege tu, narudia tena ni mabwege mtozeni. Ni barabara moja tu iliyofumuliwa ya Uyole Mafiati ndiyo ina vumbi kwanini waseme Mbeya yote??Ungeandika bila kutumia hii lugha, ungeeleweka pia. Hata kama maisha magumu, punguza makasiriko
Siyo pakuiishi huku labda ukiwa huna jinsi
Hahahaaa.. Wakikusikia utakomaš¤£š¤£Siyo pakuiishi huku labda ukiwa huna jinsi
Kuita JIJI alafu kumekosa miundo mbinu wala mpangilio hapo ndio na jiuliza au wanaangalia makadirio ya TRA walichokusanya.