GE2025 Hivi mbona kwa vitendo na kauli za Samia ni kama tayari ameshajipitisha urais 2025/2030

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Kwa yanayoendelea na muafaka ukipatakana wa uchaguzi, kuna dalili nyingi za uvunjifu wa amani.

samia matamko na vitendo vyake ni kama tayari ameshajipitisha urais anasubiri wa ngazi za chini aletewe.

Tusipokuwa naye makini akipita kimabavu huyu si ajabu atataka kutawala milele.
 
Pole wewe ambaye ulikuwa huna habari .

Sisi wengine tulikwisha yajua hayo tayari .

Akina pole pole ,Majaliwa ,Ndugai,Mpango walikwsiha tangulia
 
Kwa yanayoendelea na muafaka ukipatakana wa uchaguzi, kuna dalili nyingi za uvunjifu wa amani.

samia matamko na vitendo vyake ni kama tayari ameshajipitisha urais anasubiri wa ngazi za chini aletewe.

Tusipokuwa naye makini akipita kimabavu huyu si ajabu atataka kutawala milele.
wewe subiri uone, atafanyiwa surprise ya ajabu sana na watu wake wa karibu sana
 
Huu uzi unapitwa kama wanaaga maiti vile
 
Huyu mwanamke na atawavuruga sana.
Na mwisho wa siku atakwenda kuishi uamishoni.
 
Kwamba Polepole, Mpango, Majaliwa, na wengine wa aina yao wamebaini CCM haitawali kidemokrasia na wakajiweka pembeni. Na ingetokea Samia hagombei tungepata mabadiliko chanya.

Kwa kweli tuwasaulifu sana.
 
Kutawala milele hawezi. Ila rasilmali za Tanganyika ....
 
Back
Top Bottom