Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Pole wewe ambaye ulikuwa huna habari .Kwa yanayoendelea na muafaka ukipatakana wa uchaguzi, kuna dalili nyingi za uvunjifu wa amani.
samia matamko na vitendo vyake ni kama tayari ameshajipitisha urais anasubiri wa ngazi za chini aletewe.
Tusipokuwa naye makini akipita kimabavu huyu si ajabu atataka kutawala milele.
Inasikitisha sanaPole wewe ambaye ulikuwa huna habari .
Sisi wengine tulikwisha yajua hayo tayari .
Akina pole pole ,Majaliwa ,Ndugai,Mpango walikwsiha tangulia
wewe subiri uone, atafanyiwa surprise ya ajabu sana na watu wake wa karibu sanaKwa yanayoendelea na muafaka ukipatakana wa uchaguzi, kuna dalili nyingi za uvunjifu wa amani.
samia matamko na vitendo vyake ni kama tayari ameshajipitisha urais anasubiri wa ngazi za chini aletewe.
Tusipokuwa naye makini akipita kimabavu huyu si ajabu atataka kutawala milele.
Hakuna kitu kama hichowewe subiri uone, atafanyiwa surprise ya ajabu sana na watu wake wa karibu sana
Achana na haya mawazo maana hayatatimia.wewe subiri uone, atafanyiwa surprise ya ajabu sana na watu wake wa karibu sana