Hivi mbona makampuni ya kimataifa yanashindwa kwenye soko la Tanzania, Tala wafungasha na kubaki na Kenya na mataifa mengine

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nakumbuka baadhi ya Watanzania wakisheherekea kwa kampuni ya Kenya, Uchumi kupata changamoto kwenye soko la Tanzania, lakini hawajiulizi mbona soko lao linakua ngumu kwa haya makampuni, hiki sio kitu cha kukenulia meno, maana pia wananchi wanapungukiwa ajira.
-------------------------------------------------

Mobile-based online lending firm Tala has announced that it is shutting down its operations in Tanzania, without giving an explanation.
The company said Tuesday that it will give more details later.
GLOBAL FIRM
“We regret to inform you that Tala is currently not offering loans in Tanzania. We appreciate the opportunity to serve you, and we wish our loyal customers continued success in your financial journeys,” reads a statement issued by the company.
Tala, which currently operates in Kenya, Mexico, India and Philippines, provides fast personalised loans to approved borrowers mainly self-employed as no collateral is required, attracting over 27 million people around the globe.
An official from the company confirmed the announcement posted on social media.

“Yes, we are no longer offering loans in Tanzania. Unfortunately, due to legal reasons, we cannot divulge any more information other than what was communicated on social media,” the official said.
The company urged its customers with outstanding balances to repay the loans.
 
ukiwa unacheza mpira halafu refa anabadili sheria katikati ya game team moja itakimbiwa uwanjani. ili kuwa na hali bora ya kibishara ni kuwa na sheria bora na hazina ushawishi wa mtu mmoja kutolea maamuzi ni sheria za kuheshima. hakuna mtu atafungua au kuwekeza ikiwa hajui kesho tamko gani litatoka. siasa zifanywe lakini katika mambo ya kiuchumi ni sheria za wazi na nzuri. huku kila mtu msemaji.
 
Sheria gani iliyo badilishwa au tamko gani lililotolewa na kuathiri biashara ya Tala?
 
wapi mimi nimeandika TALA?? naongelea hali ya ujumla kuwa hutakiwi kila mtu kuingiza maagizo ya kisiasa katika biashara. tunaona kila siku mara mkuu wa wilaya anatoa amri funga huyu funga kazi. vyombo vya serikali kama TRA na vingine vinatakiwa ndio vinachukuwa hatua kwa mujibu wa sheria sio matamko.
 
ukiwa unacheza mpira halafu refa anabadili sheria katikati ya game team moja itakimbiwa uwanjani. ili kuwa na hali bora ya kibishara ni kuwa na sheria bora na hazina ushawishi wa mtu mmoja kutolea maamuzi ni sheria za kuheshima. hakuna mtu atafungua au kuwekeza ikiwa hajui kesho tamko gani litatoka. siasa zifanywe lakini katika mambo ya kiuchumi ni sheria za wazi na nzuri. huku kila mtu msemaji.

Hayo ni maoni yako, lkn ukweli hauko hivyo.
 
Hao wenyewe waliyataka, walihujumu uchumi wakapigwa faini ya Tsh 6b na wenzao Vodacom.

Wabaki huko huko ambako serikali zao zipo likizo.

Mkuu, people will go around but ukweli ni kuwa sehemu zenye uongozi ulionyooka huwa si rafiki kwa Biashara za Wazungu, naweza kukupa mfano wa Ethiopia, Yaani kufanya Registration ya Product yako pale mzee itakichukua hata Miaka minne, Maana watapiga analysis na trials za kutosha, Yaani sehemu ambazo hakuna mtu wa kuhonga hakunaga biashara ya Mzungu,
Huwa nafikiria pamoja na Risasi na Fujo zote zile Kule DRC makampuni ya wazungu yanapishana huko, serikali kama ya kenya wazee wa 10% au Nigeria obviously utawakuta wazungu wamejazana,
Rushwa inaimbwa tu kwa midomo ila kwenye utekelezaji sio rahisi kabisa.
 
Tala ni nini!?

What I am saying, sehemu zisizo na watu wa kuhonga yaani sehemu zanye utawala ulionyooka sio rafiki kwa biashara za Wazungu,
Maana mirorongo itakuwa mingi na wao wanataka wahonge wapige shortcut wapige hela, naongea hili kwa Uzoefu.
 
Ukweli ni kwamba Compitation imewashinda.

Tanzania hizi microfinance institution ni nyingi mno mbaya zaidi zisizo sajiliwa ni nyingi kuliko zilizo sajiliwa

So TALA ameshindwa kwanye mashindano...
 
Hayo ndio maumivu ya kuwa na serikali ya ubabe na ubabaishaji, ambayo haina sera za kueleweka kwenye sekta nyeti kama biashara. Nani ana hamu ya kujiingiza kichwa kichwa kwenye mazingira ya biashara ambayo yatakuletea hasara hapo baadaye?
 
Nakumbuka baadhi ya Watanzania wakisheherekea kwa kampuni ya Kenya, Uchumi kupata changamoto kwenye soko la Tanzania, lakini hawajiulizi mbona soko lao linakua ngumu kwa haya makampuni, hiki sio kitu cha kukenulia meno, maana pia wananchi wanapungukiwa ajira.
-------------------------------------------------

Mobile-based online lending firm Tala has announced that it is shutting down its operations in Tanzania, without giving an explanation.
The company said Tuesday that it will give more details later.
GLOBAL FIRM
“We regret to inform you that Tala is currently not offering loans in Tanzania. We appreciate the opportunity to serve you, and we wish our loyal customers continued success in your financial journeys,” reads a statement issued by the company.
Tala, which currently operates in Kenya, Mexico, India and Philippines, provides fast personalised loans to approved borrowers mainly self-employed as no collateral is required, attracting over 27 million people around the globe.
An official from the company confirmed the announcement posted on social media.

“Yes, we are no longer offering loans in Tanzania. Unfortunately, due to legal reasons, we cannot divulge any more information other than what was communicated on social media,” the official said.
The company urged its customers with outstanding balances to repay the loans.
Tanzania ina mazingira magumu sana kibiashara, hali ya maisha inazidi kudidimia huku stupidly wapumbavu wakitetea kwa sababu za ushabiki wa mrengo wa kisiasa.
Slogans za kitaahira za 'wapiga dili' zinatumika sana lakini nchi kama Kenya itazidi kuwa economic power house katika ukanda huu kwakuwa hawana ujuha wa kuchanga siasa kwenye mambo serious yanayoweza kuathiri uwekezaji na ukuaji wa uchumi.
 
Hiyo ni kwa mtazamo wako.
Hiyo Kenya unayoisifia economic power house imeshafunga ajira miaka mitatu na kuna projects zao ni failing projects.
 
Nakumbuka baadhi ya Watanzania wakisheherekea kwa kampuni ya Kenya, Uchumi kupata changamoto kwenye soko la Tanzania, lakini hawajiulizi mbona soko lao linakua ngumu kwa haya makampuni, hiki sio kitu cha kukenulia meno, maana pia wananchi wanapungukiwa ajira.
-------------------------------------------------

Mobile-based online lending firm Tala has announced that it is shutting down its operations in Tanzania, without giving an explanation.
The company said Tuesday that it will give more details later.
GLOBAL FIRM
“We regret to inform you that Tala is currently not offering loans in Tanzania. We appreciate the opportunity to serve you, and we wish our loyal customers continued success in your financial journeys,” reads a statement issued by the company.
Tala, which currently operates in Kenya, Mexico, India and Philippines, provides fast personalised loans to approved borrowers mainly self-employed as no collateral is required, attracting over 27 million people around the globe.
An official from the company confirmed the announcement posted on social media.

“Yes, we are no longer offering loans in Tanzania. Unfortunately, due to legal reasons, we cannot divulge any more information other than what was communicated on social media,” the official said.
The company urged its customers with outstanding balances to repay the loans.

Haya makampuni yanahusika money loundering
 
wapi mimi nimeandika TALA?? naongelea hali ya ujumla kuwa hutakiwi kila mtu kuingiza maagizo ya kisiasa katika biashara. tunaona kila siku mara mkuu wa wilaya anatoa amri funga huyu funga kazi. vyombo vya serikali kama TRA na vingine vinatakiwa ndio vinachukuwa hatua kwa mujibu wa sheria sio matamko.
Ninachojua raisi ametoa matamko yaku support biashara na kusema mtu atakae kwamisha uwekezaji ajiandae. Kama unataka kufungua kiwanda na permits zinachelewa ww fungua hizo permits zitakuja baadae. Yote raisi amesema kwa nia njema, ufisadi bandarini umetokomezwa, matozo na urasimu wa osha n.k umefutwa. "Tatizo" au "uzuri" serikali hii inakomaa sana na kodi na wote wanao lalamika wana lenga hapo, TRA walizidisha sifa, uzuri mkuu amesha waweka sawa. Desturi ya kulipa kodi inabidi tuijenge hamna namna, ujanja ujanja kwishney.
 
Back
Top Bottom