Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
Cha kwanza sina unasaba na CHADEMA,pili aliyedai Vodacom ni ya CCM ni Musiba na mashabiki wa chama tawala waka'support kwamba Musiba hasemagi huongo na huwa ana data za jikoni kabisa.Uwe unatumia akili,nyie ndo mnasababisha hadi chadema waonekane wahuni
Usifikiri kila anayepinga chama tawala au anayempinga rais ana affiliation na vyama vya upinzani, kuna watu kama mimi ambao hatukubali pale tunapoona mambo hayaendi sawa na hatuna muda wa kusifia mtu akitimiza majukumu iyoyaomba mwenyewe tena kwa kampeni kubwa na 'rafu' nyingi.
Kukimbilia kutaja chama ambacho sina hata unasaba nacho kumenifanya nikuone una ubongo wa kuku.