Hivi mbona makampuni ya kimataifa yanashindwa kwenye soko la Tanzania, Tala wafungasha na kubaki na Kenya na mataifa mengine

Ninachojua raisi ametoa matamko yaku support biashara na kusema mtu atakae kwamisha uwekezaji ajiandae. Kama unataka kufungua kiwanda na permits zinachelewa ww fungua hizo permits zitakuja baadae. Yote raisi amesema kwa nia njema, ufisadi bandarini umetokomezwa, matozo na urasimu wa osha n.k umefutwa. "Tatizo" au "uzuri" serikali hii inakomaa sana na kodi na wote wanao lalamika wana lenga hapo, TRA walizidisha sifa, uzuri mkuu amesha waweka sawa. Desturi ya kulipa kodi inabidi tuijenge hamna namna, ujanja ujanja kwishney.
Hakuna tatizo na Raisi lazima kauli zake ziheshimike tatizo ni watendaji kuna shida kubwa sana maana huwezi kuendesha nchi sababu kwa bahati tuna Rais mkali au yuko makini je kesho tukipata mwingine mpole?? Wafanyakazi ni lazima kuwe na system inawalazimisha kufanya yanayotakiwa kufanywa sio mpaka kiongozi fulani aseme. Ndio maana nikasema mtu kuwekeza kwa kutegemea nani kiongozi sio sawa hawa viongozi watakuja na kuondoka lakini mifumo lazima iwe imara na ibaki. Rais kasema sana hata waziri mkuu kasema sana lakini tumeona huko Morogoro utasema hakuna serikali watu wanapiga tu.
 
Hapo kwenye kodi umenena tukijenga utamaduni kuwa ni aibu kukwepa kodi au adhabu kali zipo kwa mujibu wa sheria itakuwa njia moja ya kusonga mbele, lakini kabla ya haya kuwe na mfumo wa kulipa kodi uliokuwa wazi system kamili ili tuache haya mambo ya makadirio, umepata hichi unalipa hichi hakuna longolongo. kama umeuza shamba Milion 10 unajuwa 10% nalipa kodi. Mpaka leo hii maduka makubwa hawapendi kulipwa kupitia bank wanataka cash, kwanini? sababu wanakwepa kodi na huu ndio ukweli. Ikifika siku transaction zote zinapitia njia sahihi huwezi kucheza na mapato watu wataona tu kama sio leo kesho. ndio maana utakuta kuna watu kama kina Messi imepita miaka lakini wakaambiwa ulikwepa hapa lipa au jela basi.
 
Hao wahuni ndo walimponza hadi boss wa Vodacom akapandishwa Kisutu.
 
Hiyo ni kwa mtazamo wako.
Hiyo Kenya unayoisifia economic power house imeshafunga ajira miaka mitatu na kuna projects zao ni failing projects.
Endelea tu wishful thinking zako, watu walikuwa wanadanganywa hivyo hivyo hata enzi za mchonga. Pamoja na challenges Kenya wanazokabiliana nazo they're million times better than Tz situation, nchi inajivunia fake figures ambazo hazi'reflect realities on the ground.
 
Tala wamechoka kutapeliwa
wabongo nux wanakopa kisha wanatupa line
Ukikopa kisha utupe line utakaponunua line nyingine si bado deni litakuwepo? Maanake deni litarushwa kwenye line yako mpya, au mnamaanishaje? Sheria za Tz haziwashurutishi wateja kusajili line na stakabadhi husika kama kitambulisho na pasipoti? Kenya hupati line bila kitambulisho au pasipoti kwahivyo hata ukitupa line kwasababu ya deni utakaponunua nyingine bado watakunasa tu. Alafu ukikataa kulipa deni lolote shirika la deni CRBD linakublacklist kwenye platform zote hadi kwenye mabenki.
 
Endelea tu wishful thinking zako, watu walikuwa wanadanganywa hivyo hivyo hata enzi za mchonga. Pamoja na challenges Kenya wanazokabiliana nazo they're million times better than Tz situation, nchi inajivunia fake figures ambazo hazi'reflect realities on the ground.
Mkuu unachekesha ww.
Nakutajia matatizo ya Kenya ambayo hayapo Tz na najivunia kuwa mtz.
1)Njaa ya kila mwaka .
2)Failing projects.
3)Ufinyu wa umiliki ardhi.
4)Ukabila mpk ktk social welfare.
5)Ukosefu mkubwa wa ajira.
6)Mfumuko mkubwa wa bei ktk bidhaa.
Mbaya zaidi Kenya wamefunga ajira kwa miaka mitatu.

Usiwe kipofu hvyo wewe.Uchumi gani kenya unaouona mkubwa mpk uiweke trending hivyo???
Nitajie miaka yeyote ambayo Tz ilisitisha miaka ht miwili ajira.Au hyo GDP kubwa ya Kenya ndio inawatia upofu???
Mkuu sikubaliani na ww kattu.
Nimekutana na wakenya hususan jaluo na kisii.Wanakwambia wazi kabbisa Kuwa maisha ya Tz ni rahisi sana kuya afford.Hata mtu mwenye kipato cha chini anaweza akaishi na kufurahia maisha kenya.
Mtu akiwa na 100ksh Tz anaishi vema.ichukue hiyo 100ksh mpe mkenya uone atavyolalamika.
Twende kireality bhanaaa.
Tz ni nchi ambayo ina gharama nafuuu sana ya maisha kubali kataa.Sijaona kitu special kwa Kenya labda majengo na miundombinu ambayo huwanufaisha wachache ila wananchi tabu tupu.
NOTHING SPECIAL IN KENYA.
NCHI ILIYOBORA WANANCHI HUWA NA GHARAMA NAFUU ZA MAISHA SIO GHARAMA KANDAMIZI KAMA HAPA.

Vyombo vya habari hususan citizen imeripoti suicide commitments nyingi zinazochagizwa na ugumu wa maisha wa kenya na ukosefu wa ajira ww unasema Kenya wana hali nzuri kutuzidi?????
Unajua hata mzungu atakushangaa umwambie kuwa nchi imeendelea ilhali ina ukosefu wa ajira mpk kufikia kusitisha ajira miaka mitatu.
Acha kukariri ma GDP haya ya karatasini.
 
Hayo ndio maumivu ya kuwa na serikali ya ubabe na ubabaishaji, ambayo haina sera za kueleweka kwenye sekta nyeti kama biashara. Nani ana hamu ya kujiingiza kichwa kichwa kwenye mazingira ya biashara ambayo yatakuletea hasara hapo baadaye?
kenya ni shamba la bibi ndio maana matapeli wengi huanzia kwenu na ninyi mkajisifu ni hub 😁😁
 
Hakuna tatizo na Raisi lazima kauli zake ziheshimike tatizo ni watendaji kuna shida kubwa sana maana huwezi kuendesha nchi sababu kwa bahati tuna Rais mkali au yuko makini je kesho tukipata mwingine mpole?? Wafanyakazi ni lazima kuwe na system inawalazimisha kufanya yanayotakiwa kufanywa sio mpaka kiongozi fulani aseme. Ndio maana nikasema mtu kuwekeza kwa kutegemea nani kiongozi sio sawa hawa viongozi watakuja na kuondoka lakini mifumo lazima iwe imara na ibaki. Rais kasema sana hata waziri mkuu kasema sana lakini tumeona huko Morogoro utasema hakuna serikali watu wanapiga tu.
Raisi na waziri mkuu siyo wamesema sana tu, hatua zinachukuliwa pia. Daily watu wana pandishwa kizimbani. Wewe unakiri tatizo ni watu, hao watu wana fisadi huku sheria wakizijua. Labda unge fafanua ukisema mfumo una maana gani? Kuna nchi zinakatiba bora kabisa Africa kama Uganda ila uki angalia serikali inafanya madudu tu. Mimi nakuhakikishia kwa Africa ata uweke sheria gani kama Raisi akiwa mpigaji ataweka timu yake kila idara na kupiga vizuri tu. Kuna vitu vinafanyika upande wa uwajibakaji sasa hivi kipindi cha nyuma ilikua ni ndoto na sheria bado ni zile zile. Hayo matamko ambayo unaya kejeli yamesaidia watu kutambua wajibu wao. Serikali hii inachangamoto zake ila hamna serikali ambayo imewahi fanya vizuri zaidi ya hii, Mwinyi mwenyewe amekiri. Hao wawekezaji ambao hawata penda mazingira ya sasa hivi basi jua hao hawana nia njema na watanzania.
 
Mkuu unachekesha ww.
Nakutajia matatizo ya Kenya ambayo hayapo Tz na najivunia kuwa mtz.
1)Njaa ya kila mwaka .
2)Failing projects.
3)Ufinyu wa umiliki ardhi.
4)Ukabila mpk ktk social welfare.
5)Ukosefu mkubwa wa ajira.
6)Mfumuko mkubwa wa bei ktk bidhaa.
Mbaya zaidi Kenya wamefunga ajira kwa miaka mitatu.

Usiwe kipofu hvyo wewe.Uchumi gani kenya unaouona mkubwa mpk uiweke trending hivyo???
Nitajie miaka yeyote ambayo Tz ilisitisha miaka ht miwili ajira.Au hyo GDP kubwa ya Kenya ndio inawatia upofu???
Mkuu sikubaliani na ww kattu.
Nimekutana na wakenya hususan jaluo na kisii.Wanakwambia wazi kabbisa Kuwa maisha ya Tz ni rahisi sana kuya afford.Hata mtu mwenye kipato cha chini anaweza akaishi na kufurahia maisha kenya.
Mtu akiwa na 100ksh Tz anaishi vema.ichukue hiyo 100ksh mpe mkenya uone atavyolalamika.
Twende kireality bhanaaa.
Tz ni nchi ambayo ina gharama nafuuu sana ya maisha kubali kataa.Sijaona kitu special kwa Kenya labda majengo na miundombinu ambayo huwanufaisha wachache ila wananchi tabu tupu.
NOTHING SPECIAL IN KENYA.
NCHI ILIYOBORA WANANCHI HUWA NA GHARAMA NAFUU ZA MAISHA SIO GHARAMA KANDAMIZI KAMA HAPA.

Vyombo vya habari hususan citizen imeripoti suicide commitments nyingi zinazochagizwa na ugumu wa maisha wa kenya na ukosefu wa ajira ww unasema Kenya wana hali nzuri kutuzidi?????
Unajua hata mzungu atakushangaa umwambie kuwa nchi imeendelea ilhali ina ukosefu wa ajira mpk kufikia kusitisha ajira miaka mitatu.
Acha kukariri ma GDP haya ya karatasini.

Mkuu unachekesha ww.
Nakutajia matatizo ya Kenya ambayo hayapo Tz na najivunia kuwa mtz.
1)Njaa ya kila mwaka .
2)Failing projects.
3)Ufinyu wa umiliki ardhi.
4)Ukabila mpk ktk social welfare.
5)Ukosefu mkubwa wa ajira.
6)Mfumuko mkubwa wa bei ktk bidhaa.
Mbaya zaidi Kenya wamefunga ajira kwa miaka mitatu.

Usiwe kipofu hvyo wewe.Uchumi gani kenya unaouona mkubwa mpk uiweke trending hivyo???
Nitajie miaka yeyote ambayo Tz ilisitisha miaka ht miwili ajira.Au hyo GDP kubwa ya Kenya ndio inawatia upofu???
Mkuu sikubaliani na ww kattu.
Nimekutana na wakenya hususan jaluo na kisii.Wanakwambia wazi kabbisa Kuwa maisha ya Tz ni rahisi sana kuya afford.Hata mtu mwenye kipato cha chini anaweza akaishi na kufurahia maisha kenya.
Mtu akiwa na 100ksh Tz anaishi vema.ichukue hiyo 100ksh mpe mkenya uone atavyolalamika.
Twende kireality bhanaaa.
Tz ni nchi ambayo ina gharama nafuuu sana ya maisha kubali kataa.Sijaona kitu special kwa Kenya labda majengo na miundombinu ambayo huwanufaisha wachache ila wananchi tabu tupu.
NOTHING SPECIAL IN KENYA.
NCHI ILIYOBORA WANANCHI HUWA NA GHARAMA NAFUU ZA MAISHA SIO GHARAMA KANDAMIZI KAMA HAPA.

Vyombo vya habari hususan citizen imeripoti suicide commitments nyingi zinazochagizwa na ugumu wa maisha wa kenya na ukosefu wa ajira ww unasema Kenya wana hali nzuri kutuzidi?????
Unajua hata mzungu atakushangaa umwambie kuwa nchi imeendelea ilhali ina ukosefu wa ajira mpk kufikia kusitisha ajira miaka mitatu.
Acha kukariri ma GDP haya ya karatasini.

Una ushabiki wa kitoto sana,gharama za maisha huku pesa ikionekana kwenye circulation. I see things with my naked eyes, si maelezo ya kwenye makaratasi yasiyoendana na uhalisia.
Hauni haya kuzungumzia ukabila wakati mkulu wa kaya anautengeneza kwa bidii zote.
Kwenye ukosefu mkubwa wa ajira kweli nyani haoni kundule,ni aibu kwa Mtanzania kuisimanga nchi yoyote kuhusu ukosefu wa ajira. Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndiyo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
GDP ni indicator muhimu, wewe ni ile timu ambayo inalazimisha data za hali ya uchumi zitoke tu kwenye mamlaka za serikali ili ziwe za kupikwa zilizojaa giliba na ambazo haziendani na uhalisia. Mkipewa data za World Bank mnazikataa na kusema ni mabeberu wanataka kuwakatisha tamaa lakini hao hao World Bank wakitoa msaada mnawasifia japo sifa zaidi mnampa mkuu wa kaya kuwa anakubalika kwa wadau wa maendeleo. Hypocrisy at it's highest level.
Failing projects, za Kibongo hauzioni? Simple example is ATCL, ni failure huku ikitumika nguvu kubwa kuificha aibu kwani ni mradi wa nyapara mkuu.
Unasema Kenya kuna suicides nyingi, vipi kuhusu torture, liquidations, executions, kidnappings na false cases wanazobambikwa wakosoaji wa serikali kwa upande wa Tanzania.
 
Yaani mtu anayeongea kishabiki na mwenye chuki na serikali utamjua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
GDP ipi ya kenya unaongelea au ni ile ya kwenye makaratasi

We una akili timamu kweli ?????
Mauaji na kujiua kisa ugumu wa maisha vinafanana???
Nilidhan nazungumza na mtu alo hai!!!!!!!!
Asa kwan mm naona na closed eyes???
I also see things with my naked eyes.
Nitajie mauaji yaliyotekelezwa na rais ya kiukabila.
Ila Kenya Kikuyu wanaua jaluo.
We sijui unazungumzia nn???
Kuhusu ATCL hilo jambo kuwa shirika linaingiza hasara bado halijathibitika maana route mpya kila msimu zinafunguliwa.
Na twaisubiri route ya kwenda Uingereza na China.Ila itizame KQ inafanya flight cancellation daily.
Sasa hv wamekimbiwa na mapilots wana shortage ya mapilots.
Tz ajira zinatolewa japo kwa uchache nadhani unasikiaga kuwa kuna walimu kiasi flan wamepata ajira ama madaktari kiasi flan wamepata ajira.
Nenda kenya wanachuo wanajiua kwa kuhofia ukosefu wa ajira na ugumu wa maisha.
Wananchi wanajiua baadhi pia kwa ugumu wa maisha.
Ajira zimefungwa MIAKA MITATU KENYA NIKAKUULIZA JE UMESHAWAHI KUSIKIA TZ AJIRA ZIMEFUNGWA TAKRIBAN HATA MWAKA????
Yani mauaji ya siasa unafananisha na ukabila.
Hivi unajielewa ww????
Umeenda mbali mpk mauaji unafananisha na kujiua.
Nimekuletea hadi video uone wananchi wa Kenya wanavyolalama je ushawahi ona Tz watu wanalalama hovyo kama hivyo???
Ebu acha hizo ww hata kama haumkubali Magufuli ila ondoa chuki na Tz usifananishe ugumu wa maisha wa Tz na Kenya.
Nikakupa mfano kuwa Tz unaweza ukawa na 100 ksh zibadilishe kwa hela za Tz hazifiki ht 6k tsh nadhan.Lakin mtz anaitumia na anafurahia maisha.
Ichukue hela hiyo hiyo kampe mkenya.
Huna hata fact naona umeongea uhemko mwingi sana basi mm nahitaji majibu ya maswali yafuatayo;
1)Nitajie mwaka ambao Tz imesitisha ajira kwa muda km Kenya ilivyofanya hata kwa miaka miwili.
2)Nitajie mauaji ya kikabila yaliyofanywa na serikali yetu km yanavyofanywa na kikuyu kwa jaluo.
3)Nitajie idadi ya wanachuo Tz waliojiua kisa kuhofia ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira km Kenya.

-Kenya kuna mradi wa BRT umefeli wamepaka lipstick kwa barabara only brt wametulia.
-KQ inaleta hasara mpaka wanafanya flight cancellation mpk marubani wamewakimbia.
-Kuna mradi waliupanga wa kilimo cha umwagiliaji Kenya kushinei haupo na haujafanyika.
-Sgr ya kenya ishaanza kuleta matatzo uendeshaji mkubwa kuliko faida.

4)Nitajie miradi yetu inayosumbua ama iliyofeli kabbisa kama ya kenya.

NB:sina rais nayemkubali Tz toka inaumbwa lakini usifananishe maisha ya Kenya na Tanzania unakosea.
 
Kwanza ni ujuha kulinganisha KQ na ATCL, ni kama mbingu na ardhi.

Kenya wanaua Wajaluo,na nyinyi mnaoua watu kwa affiliations za vyama,watu wamepotezwa na watu wamejeruhiwa. Mna uafadhali gani hapo.

Acha utaahirira wa routes za kufikirika za ATCL,zungumzia routes with proof ambazo zinafanyika.

Hivi Tz kuna ajira gani, kilio cha hawa vijana wanao'graduate ni kuwa masikio yako yameziba. Hata humu JF huwa wanaanzisha nyuzi mara kwa mara kulalamikia kutokuwepo kwa ajira. Na Kenya sector binafsi ziko vizuri na uwezo wao wa kuajiri uko juu sana huku Tz sector binafsi ni mwendo wa kudorora tu kadri siku zinavyosonga.

Tz miradi huja kuwaumbua mambo tu, hakuna uhuru wa kuchunguza na kuripoti jinsi miradi inavyokwenda badala yake zinatoka habari za kudanganywa kutoka upande wa serikali. Mtu yoyote akijifanya kuchunguza na akaandika ukweli ajipange kwa kesi za uraia,money laundering, kujihusisha na magenge ya uhalifu and the likes hivyo huwezi kulinganisha na Kenya ambapo wachumi independently wanafanya tafiti zao na kila kitu wanakiripoti kwa uhalisia wake.
 
Haahhahahahhahhah mpk nakucheka dah sio kosa lako.
ATCL inaenda Mumbai sasa hv hilo sio jambo la kufikirika.Na itafika China tu maana km imetua Mumbai China haiko mbali na Mumbai uwezekano upo.
Hiv unajua failed project zikoje jombaa!???
Au unaongea kwa uhemko tu???!!!!
Kafuatilie kwanza.
Halafu Tz sawa ajira finyu lakini sio km Kenya wanachuo wanalalamika lakin sio kufikia hatua ya kujiua kama Kenya.
Bro sijui unanielewa ???!!!!
Huwezi kufananisha ufinyu wa ajira na ukosefu mkubwa wa ajira.
Tz kuna ufinyu wa Kuajiri kutokana na serikali inadai haina pesa za kutosha kuajiri kwa wingi ila inatoa ajira japo kwa kiwango kidogo.
Mwanachuo wa Kenya mpk anafikia hatua ya kujiua anafaham kuwa akiingia mtaani msoto mkali uhakika wa ajira ni zero.

Kuhusu mauaji nilikueka waz mauaji ya mlengwa wa kisiasa usifananishe na ya ukabila.
Yani huwez kutofautisha hivyo vitu viwili kabbisa???!!!!!!

Huna swali hata moja ulilojibu nishakujua ww ndiyo wale wakaao wakishashiba camp kujazana kasumba.
Ukiambiwa ukielezee usadikishe maelezo yako bado unazidi kutema pumba.

MKUU KWAHERI.
 
Nakumbuka baadhi ya Watanzania wakisheherekea kwa kampuni ya Kenya, Uchumi kupata changamoto kwenye soko la Tanzania, lakini hawajiulizi mbona soko lao linakua ngumu kwa haya makampuni, hiki sio kitu cha kukenulia meno, maana pia wananchi wanapungukiwa ajira.
-------------------------------------------------

Mobile-based online lending firm Tala has announced that it is shutting down its operations in Tanzania, without giving an explanation.
The company said Tuesday that it will give more details later.
GLOBAL FIRM
“We regret to inform you that Tala is currently not offering loans in Tanzania. We appreciate the opportunity to serve you, and we wish our loyal customers continued success in your financial journeys,” reads a statement issued by the company.
Tala, which currently operates in Kenya, Mexico, India and Philippines, provides fast personalised loans to approved borrowers mainly self-employed as no collateral is required, attracting over 27 million people around the globe.
An official from the company confirmed the announcement posted on social media.

“Yes, we are no longer offering loans in Tanzania. Unfortunately, due to legal reasons, we cannot divulge any more information other than what was communicated on social media,” the official said.
The company urged its customers with outstanding balances to repay the loans.
Hivi ndivyo sababu Tz ilivyo sababu wao sio taifa la kibiashara ni watu wa ujamaa hawajui umuhimu wa "conducive business environment".Winston Churchill once said "the inherent virtue of socialism is the equal sharing of misery"
 
Back
Top Bottom