Hivi mbona makampuni ya kimataifa yanashindwa kwenye soko la Tanzania, Tala wafungasha na kubaki na Kenya na mataifa mengine

Uwe unatumia akili,nyie ndo mnasababisha hadi chadema waonekane wahuni
Cha kwanza sina unasaba na CHADEMA,pili aliyedai Vodacom ni ya CCM ni Musiba na mashabiki wa chama tawala waka'support kwamba Musiba hasemagi huongo na huwa ana data za jikoni kabisa.
Usifikiri kila anayepinga chama tawala au anayempinga rais ana affiliation na vyama vya upinzani, kuna watu kama mimi ambao hatukubali pale tunapoona mambo hayaendi sawa na hatuna muda wa kusifia mtu akitimiza majukumu iyoyaomba mwenyewe tena kwa kampeni kubwa na 'rafu' nyingi.
Kukimbilia kutaja chama ambacho sina hata unasaba nacho kumenifanya nikuone una ubongo wa kuku.
 

Usitafute justifications za mauaji. Pumbavu,eti usifananishe mauaji ya tofauti za kisiasa na ya ukabila. So cheap thinking.

Bado narudia tofauti ya KQ na ATCL ni kama mbingu na ardhi, it's shame trying to compare the two.

Tanzania kuna ukosefu mkubwa wa ajira,hili tatizo unajaribu kulipaka rangi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Secondly nguvu ya kuajiri ya sekta binafsi Kenya wametuzidi sana, bitter pill to swallow lakini ndiyo ukweli wenyewe.
 
Wazee wa story za vijiweni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee wa story za vijiweni [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza nchi ninayoishi hatuna utamaduni wa vijiwe,pili I'm busy 24/7 ku'sustain familia yangu hivyo usifikiri kila mtu anashinda vijiweni kama wewe.
Ukiishiwa uongo just give up, njia ya muongo always huwa ni fupi. Shame on you.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Pumba tupu
Kwanza nchi ninayoishi hatuna utamaduni wa vijiwe,pili I'm busy 24/7 ku'sustain familia yangu hivyo usifikiri kila mtu anashinda vijiweni kama wewe.
Ukiishiwa uongo just give up, njia ya muongo always huwa ni fupi. Shame on you.
 
Huna facts.
Mpaka unatype error.
SINDANO IMEKUINGIA BILA SHAKA.
Maana huna swali hata moja ulilojibu zaidi ya kuhemuka tu unaongea ki hyper nothing else.
Toa fact sio uhemko.
Mauaji ya ukabila ni massively na mauaji ya mlengwa wa kisiasa huwaathiri wachache.Tizama Jaluo wanavyoteketea kisede.Halafu ukabila umefanya kenya iwe haina muunganiko mkisii hapendan na mkikuyu nchi inajengwaje???
Kuhusu KQ na ATCL nadhan unasikia huko hasara zinazopatikana KQ mpk shirika lataka kutaifishwa.
Kuhusu ajira nimekua nikikwambia kwa kina watu wanajiua huko kisa ukosefu wa ajira umewahi experience hii kitu Tz????
Tz tuna upungufu ila sio ukosefu mkubwa km Kenya.Kenya imesitisha ajira miaka mitatu hilo je limewahi kuonekana Tz???Wap kuna unafuu???
Eti ndio unajiita civilian with high reasoning capacity!!!!!
NINYI NDIO WATU MNAOFANYA YESU ASIRUDI.
FACT HUNA KABBISA.
 
Nakutajia matatizo ya Tanzania.
1)Njaa ya kula kinyesi.
2)Failing projects Kama Bagamoyo na Strugglers gorge
3)Ufinyu wa matumizi ya ardhi.
4)Ukabila mpk ktk social welfare.
5)Ukosefu mkubwa wa ajira.
6)Mfumuko mkubwa wa bei ktk bidhaa.
Mbaya zaidi Tanzania wamepika takwimu.
😂😂😂😂
Sukari kutoka Kenya pale sirare 1200/=
Sukari kutoka Kagera Sugar 2200/=

 
Baki huko huko dreamland, that's where you belong. Utakuja kustuka kumeshapambazuka.
 
Endelea kujifariji kwa takwimu za kupika, uhalisia unaonekana hivyo longolongo zako zisizo'reflect uhalisia baki nazo kwapani kwako.
 
Unajigeuzia kibao mwasiti???!!!!
Yan matatizo ya Kenya ulete Tz??!!!!
Leta evidence km kuna watu wala kinyesi tz.
Nasubiri.
 
Endelea kujifariji kwa takwimu za kupika, uhalisia unaonekana hivyo longolongo zako zisizo'reflect uhalisia baki nazo kwapani kwako.
Ninachoongea ni reality.
Baki na kasumba zako nami nibaki na yangu.
 
Hehehehe wee ni mkenya???
 
Jamn kuna sababu nyingi za wanachuo kulia hamna ajira, ila ajira zipo. Kwa wanachuo kupata ajira mambo mengi yanaangaliwa ikiwemo ufaulu na uwezo wa mtu kufanya kazi, wanafunz wa chuo wanakataliwa coz ya kutokua ready na kazi na kukosa experience. Ila kiujumla ajira na vibarua vipo sema tu wingi wa wahitim ndo inaweka ugum coz viwango vya juu vinawekwa ili kupunguza waombaji, kwahyo ufaulu ni factor na co kama hajira hakuna. Lakn pia kwa kipnd hki ajira ni nying sana Tz, maproject yanayoendelea hapa tz co chini ya kumi, imesaidia kutoa ajira na vibarua vingi. Kwahy jamaa hajakosea coz ajira zinatolewa. Na pia utalia hakuna ajira if you dont know how to find it, kazi zipo, ila watu hawajajiandaa hasa hao wanachuo unaotetea. Hyo ni fact siyo porojo
 
Anataka afananishe na kenya ajira zimesitishwa miaka mitatu na wanachuo walohitimu baadhi kujiua kwa kuhofia ugumu wa maisha kwa ukosefu wa ajira.
Yan anataka kufananisha hayo mambo mawili hiyo ni reality yeye anakwambia habari za kupikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…