GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,332
- 4,315
Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA?
iii/ Kama mfanyabiashara mkongwe na hodari nchini?
Ikiwa ameshiriki Kama mjumbe wa kamati kuu na mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA.
i/ Je, amepata baraka za kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Je, kamati kuu ya CHADEMA ilikaa na kumteua Kuwa muwakilishi wa chama katika uzinduzi wa dira ya Taifa?
iii/ Hiyo kamati kuu ya chama iliketi kwenye ofisi gani ya chama ikiwa ofisi zote ni mali ya chama ambazo bado zinakesi mahakamani?
Ooh kumbe walitumia chadema digital aka zoom meeting.
Kwani CHADEMA DIGITAL sio mali ya chama?? Hahahaaaa.
Tunasubiri TAARIFA KWA UMMA kutoka kwa viongozi wa CHADEMA maana nasikia mmezuiliwa kuongea na waandishi wa habari mpaka kesi yenu itakapokwisha.