MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Hatujafika huko, ata Lissu angehudhuria
Namwonea huruma mamako, hapo ni garasa tu ameokotaViongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA?
iii/ Kama mfanyabiashara mkongwe na hodari nchini?
Ikiwa ameshiriki Kama mjumbe wa kamati kuu na mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA.
i/ Je, amepata baraka za kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Je, kamati kuu ya CHADEMA ilikaa na kumteua Kuwa muwakilishi wa chama katika uzinduzi wa dira ya Taifa?
iii/ Hiyo kamati kuu ya chama iliketi kwenye ofisi gani ya chama ikiwa ofisi zote ni mali ya chama ambazo bado zinakesi mahakamani?
Ooh kumbe walitumia chadema digital aka zoom meeting.
Kwani CHADEMA DIGITAL sio mali ya chama?? Hahahaaaa.
Tunasubiri TAARIFA KWA UMMA kutoka kwa viongozi wa CHADEMA maana nasikia mmezuiliwa kuongea na waandishi wa habari mpaka kesi yenu itakapokwisha.
😂😂😂Mbowe alitakiwa kufukuzwa chadema siku nyingi na wale wazanzibar wanaotumika dhidi ya watanganyika ndani ya chadema
Hii iko general zaidi, iwekwe spesific kwani anazo nafasi nyingi...tujue alivaa kofia gani kwwnye huo mkutano.Kama mtanzania
Sio kila kitu lazima ukijue specifically, yaliyo ndani ya uwezo wako yanatosha usijipe mzigo wa maishaHii iko general zaidi, iwekwe spesific kwani anazo nafasi nyingi...tujue alivaa kofia gani kwwnye huo mkutano.
Sio jambo dogo, haiwezekani Mwenyekt wa chama chako kawekwa ndani kwa kesi ya mchongo halafu unaenda kuungana na watesi eti unapiga picha unatabasam kabisa!!.
Ukiwa na jirani na amemshitaki mme au mke na kumfunga jela wewe ukauzuria sherehe yake maana yake unaunga mkono tukio alilolifanya hii ni ujumbe wa wazi kwamba yote yanayoendelea pale anafurahiaViongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA?
iii/ Kama mfanyabiashara mkongwe na hodari nchini?
Ikiwa ameshiriki Kama mjumbe wa kamati kuu na mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA.
i/ Je, amepata baraka za kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Je, kamati kuu ya CHADEMA ilikaa na kumteua Kuwa muwakilishi wa chama katika uzinduzi wa dira ya Taifa?
iii/ Hiyo kamati kuu ya chama iliketi kwenye ofisi gani ya chama ikiwa ofisi zote ni mali ya chama ambazo bado zinakesi mahakamani?
Ooh kumbe walitumia chadema digital aka zoom meeting.
Kwani CHADEMA DIGITAL sio mali ya chama?? Hahahaaaa.
Tunasubiri TAARIFA KWA UMMA kutoka kwa viongozi wa CHADEMA maana nasikia mmezuiliwa kuongea na waandishi wa habari mpaka kesi yenu itakapokwisha.
Aka Dalali mkuuAgent
Kama mwana familia wa siasa 🤣🤣🤣🤣!!Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA?
iii/ Kama mfanyabiashara mkongwe na hodari nchini?
Ikiwa ameshiriki Kama mjumbe wa kamati kuu na mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA.
i/ Je, amepata baraka za kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Je, kamati kuu ya CHADEMA ilikaa na kumteua Kuwa muwakilishi wa chama katika uzinduzi wa dira ya Taifa?
iii/ Hiyo kamati kuu ya chama iliketi kwenye ofisi gani ya chama ikiwa ofisi zote ni mali ya chama ambazo bado zinakesi mahakamani?
Ooh kumbe walitumia chadema digital aka zoom meeting.
Kwani CHADEMA DIGITAL sio mali ya chama?? Hahahaaaa.
Tunasubiri TAARIFA KWA UMMA kutoka kwa viongozi wa CHADEMA maana nasikia mmezuiliwa kuongea na waandishi wa habari mpaka kesi yenu itakapokwisha.
Kwani ametambulishwaje?Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA?
iii/ Kama mfanyabiashara mkongwe na hodari nchini?
Ikiwa ameshiriki Kama mjumbe wa kamati kuu na mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA.
i/ Je, amepata baraka za kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Je, kamati kuu ya CHADEMA ilikaa na kumteua Kuwa muwakilishi wa chama katika uzinduzi wa dira ya Taifa?
iii/ Hiyo kamati kuu ya chama iliketi kwenye ofisi gani ya chama ikiwa ofisi zote ni mali ya chama ambazo bado zinakesi mahakamani?
Ooh kumbe walitumia chadema digital aka zoom meeting.
Kwani CHADEMA DIGITAL sio mali ya chama?? Hahahaaaa.
Tunasubiri TAARIFA KWA UMMA kutoka kwa viongozi wa CHADEMA maana nasikia mmezuiliwa kuongea na waandishi wa habari mpaka kesi yenu itakapokwisha.
Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA?
iii/ Kama mfanyabiashara mkongwe na hodari nchini?
Ikiwa ameshiriki Kama mjumbe wa kamati kuu na mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA.
i/ Je, amepata baraka za kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Je, kamati kuu ya CHADEMA ilikaa na kumteua Kuwa muwakilishi wa chama katika uzinduzi wa dira ya Taifa?
iii/ Hiyo kamati kuu ya chama iliketi kwenye ofisi gani ya chama ikiwa ofisi zote ni mali ya chama ambazo bado zinakesi mahakamani?
Ooh kumbe walitumia chadema digital aka zoom meeting.
Kwani CHADEMA DIGITAL sio mali ya chama?? Hahahaaaa.
Tunasubiri TAARIFA KWA UMMA kutoka kwa viongozi wa CHADEMA maana nasikia mmezuiliwa kuongea na waandishi wa habari mpaka kesi yenu itakapokwisha.
Kwani wewe ni nani hapa nchini?Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA?
iii/ Kama mfanyabiashara mkongwe na hodari nchini?
Ikiwa ameshiriki Kama mjumbe wa kamati kuu na mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA.
i/ Je, amepata baraka za kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Je, kamati kuu ya CHADEMA ilikaa na kumteua Kuwa muwakilishi wa chama katika uzinduzi wa dira ya Taifa?
iii/ Hiyo kamati kuu ya chama iliketi kwenye ofisi gani ya chama ikiwa ofisi zote ni mali ya chama ambazo bado zinakesi mahakamani?
Ooh kumbe walitumia chadema digital aka zoom meeting.
Kwani CHADEMA DIGITAL sio mali ya chama?? Hahahaaaa.
Tunasubiri TAARIFA KWA UMMA kutoka kwa viongozi wa CHADEMA maana nasikia mmezuiliwa kuongea na waandishi wa habari mpaka kesi yenu itakapokwisha.
Kwani wale watanzania maelfu wamehudhuria kama akina nani? Wewe umeona Mbowe tuu?Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA?
iii/ Kama mfanyabiashara mkongwe na hodari nchini?
Ikiwa ameshiriki Kama mjumbe wa kamati kuu na mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA.
i/ Je, amepata baraka za kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Je, kamati kuu ya CHADEMA ilikaa na kumteua Kuwa muwakilishi wa chama katika uzinduzi wa dira ya Taifa?
iii/ Hiyo kamati kuu ya chama iliketi kwenye ofisi gani ya chama ikiwa ofisi zote ni mali ya chama ambazo bado zinakesi mahakamani?
Ooh kumbe walitumia chadema digital aka zoom meeting.
Kwani CHADEMA DIGITAL sio mali ya chama?? Hahahaaaa.
Tunasubiri TAARIFA KWA UMMA kutoka kwa viongozi wa CHADEMA maana nasikia mmezuiliwa kuongea na waandishi wa habari mpaka kesi yenu itakapokwisha.
Wewe unafikiri aliyewapa jina chadema kwamba ni nyumbu alikosea?Hii iko general zaidi, iwekwe spesific kwani anazo nafasi nyingi...tujue alivaa kofia gani kwwnye huo mkutano.
Sio jambo dogo, haiwezekani Mwenyekt wa chama chako kawekwa ndani kwa kesi ya mchongo halafu unaenda kuungana na watesi eti unapiga picha unatabasam kabisa!!.
Kwani mahudhurio yalikuwa yanabagua watu?Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?