Hivi Mbowe ameshiriki kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa ya maendeleo 2050 kama nani?

Namwonea huruma mamako, hapo ni garasa tu ameokota
 
Kama mtanzania
Hii iko general zaidi, iwekwe spesific kwani anazo nafasi nyingi...tujue alivaa kofia gani kwwnye huo mkutano.
Sio jambo dogo, haiwezekani Mwenyekt wa chama chako kawekwa ndani kwa kesi ya mchongo halafu unaenda kuungana na watesi eti unapiga picha unatabasam kabisa!!.
 
Sio kila kitu lazima ukijue specifically, yaliyo ndani ya uwezo wako yanatosha usijipe mzigo wa maisha
 
Ukiwa na jirani na amemshitaki mme au mke na kumfunga jela wewe ukauzuria sherehe yake maana yake unaunga mkono tukio alilolifanya hii ni ujumbe wa wazi kwamba yote yanayoendelea pale anafurahia
 
Kama mwana familia wa siasa 🀣🀣🀣🀣!!
 
Kwani ametambulishwaje?
 
Yani mtu aliyeoongoza chama chako zaidi ya miaka 20 na kushiriki kujenga siasa za upinzani hasa chadomo leo hujui ameshiriki kama nani? Hivi vichekesho utaviona kwa wafuasi wa Braza K tu.
 
Mfanyabiashara aloyestaafu siasa za upinzani. Dira inaweza kumpa fursa zaidi za uwekezaji.
 
Kwani wewe ni nani hapa nchini?
 
Kwani wale watanzania maelfu wamehudhuria kama akina nani? Wewe umeona Mbowe tuu?
 
Wewe unafikiri aliyewapa jina chadema kwamba ni nyumbu alikosea?
Hakuna nyumbu wa maana hata kidogo.
 
Mnamlaumu Mh. Mbowe kwa lipi?? Kashiriki kama kiongozi mkuu wa upinzani alieenguliwa. CDM mmemkataa kwenye sanduku la kura, sasa mnalia lia nini wakati mwenzenu sasa hivi anaangalia familia yake amewaachia li chama lenu wanaharakati πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Alishiriki kutoa maoni kama Mwenyekiti wa chama cha Upinzani. Kumbuka mchakato huu ulichukua zaidi ya miaka miwili mpaka umeona matokeo leo
 
Kwani mahudhurio yalikuwa yanabagua watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…