Hivi Mbowe ameshiriki kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa ya maendeleo 2050 kama nani?

Msisahau Mbowe ana haki ya kushiriki au kutoshiriki mambo ya kisiasa.
 
Kiongozi. Ile Dira mliqmbiwa ni ya TEAM NO ELECTION PEKEAKE ???
 
Kama mwana ccm mtiifu
 
Sidhani kama kushiriki uzinduzi wa dira ya taifa ni tatizo.
Mbowe bado ni Mtanganyika.
 
Chadema inayotambulika na kukubalika na Serkali ya CCM ni ile ya Mbowe, hii ya Lissu hawataki kuisikia kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…