Huyo jamaa ni wazi ana mahaba na Mbowe na hataki kusikia lawama legit anazopewa Mbowe.Kwahio sababu siwezi kucheza au sichezi mpira nisimlaumu Messi akikosa Penalty ? Au Tyson akipigwa kwenye ulingo nishangilie tu sababu mimi siwezi kupigana nae hata akifumba macho ?
Hii logic ya Wapi hii....,
Na ukishaamua kuyavulia nguo maji lazima uyaoge..., kama angeona shida sana kuwa kiongozi wa upinzani au shida kusimamia msimamo wake angewa kurudi Kitaa na kufanya mengine...Huyo jamaa ni wazi ana mahaba na Mbowe na hataki kusikia lawama legit anazopewa Mbowe.
Ona hili bado unaamini box la kura?Hahaha..atulie ili 2025 tufanyie watu surprise. Asiwapange sana.
Yaani kucomment tu!? Then who knows you...yaani ukae nyuma ya keyboard upinge tozo kwa tujimaneno maneno ujisifu umefanya harakati!!Angalia comment za kupiga tozo au ukitaka nichangie vipi?
Kwani Mwenyekiti kafanyaje? Tena alikuwa kwenye harusi na mimi nina movement zangu za kupinga tozo.Yaani kucomment tu!? Then who knows you...yaani ukae nyuma ya keyboard upinge tozo kwa tujimaneno maneno ujisifu umefanya harakati!!
Wewe hatukujui zaidi ya kutumia fake ID humu...hii nchi watu wamejaribu Sana kuwakomboa lakini ni sikio la kufa mnawalipa kwa kuchagua CCM tupu bungeni..haya hakuna mbunge hata mmoja amewatetea.Mwigulu anaposema walipewa ushauri na wananchi unadhani amekosea? Umewakilishwa na mbunge wako ulomchagua! Ningekuwa mbowe ningekaa kimya na kulamba asali yangu maana unawatetea watu ambao hawapajui mahabusu panafananajeKwani Mwenyekiti kafanyaje? Tena alikuwa kwenye harusi na mimi nina movement zangu za kupinga tozo.
Wewe mwenyewe FAKE mwenzangu 😂Wewe hatukujui zaidi ya kutumia fake ID humu...hii nchi watu wamejaribu Sana kuwakomboa lakini ni sikio la kufa mnawalipa kwa kuchagua CCM tupu bungeni..haya hakuna mbunge hata mmoja amewatetea.Mwigulu anaposema walipewa ushauri na wananchi unadhani amekosea? Umewakilishwa na mbunge wako ulomchagua! Ningekuwa mbowe ningekaa kimya na kulamba asali yangu maana unawatetea watu ambao hawapajui mahabusu panafananaje
Kutumia alias online si kuwa fake.Wewe mwenyewe FAKE mwenzangu 😂