Hivi Mbowe tunamlaumu kwa sababu ipi hasa?

Hivi Mbowe tunamlaumu kwa sababu ipi hasa?

Kwahio sababu siwezi kucheza au sichezi mpira nisimlaumu Messi akikosa Penalty ? Au Tyson akipigwa kwenye ulingo nishangilie tu sababu mimi siwezi kupigana nae hata akifumba macho ?

Hii logic ya Wapi hii....,
Huyo jamaa ni wazi ana mahaba na Mbowe na hataki kusikia lawama legit anazopewa Mbowe.
 
Huyo jamaa ni wazi ana mahaba na Mbowe na hataki kusikia lawama legit anazopewa Mbowe.
Na ukishaamua kuyavulia nguo maji lazima uyaoge..., kama angeona shida sana kuwa kiongozi wa upinzani au shida kusimamia msimamo wake angewa kurudi Kitaa na kufanya mengine...

Ila unapokuwa kinara wa Kambi ya Upinzani / Upinzani lazima ufanye yale ambayo yanaendana na upinzani sababu kuna watu wana-bank on you to do what's needed..., Sidhani kama alilazimishwa kuwa huko ila ukishafika huko utalazimika kufanya yanayotakiwa kufanyika huko....
 
Angalia comment za kupiga tozo au ukitaka nichangie vipi?
Yaani kucomment tu!? Then who knows you...yaani ukae nyuma ya keyboard upinge tozo kwa tujimaneno maneno ujisifu umefanya harakati!!
 
Yaani kucomment tu!? Then who knows you...yaani ukae nyuma ya keyboard upinge tozo kwa tujimaneno maneno ujisifu umefanya harakati!!
Kwani Mwenyekiti kafanyaje? Tena alikuwa kwenye harusi na mimi nina movement zangu za kupinga tozo.
 
Kwani Mwenyekiti kafanyaje? Tena alikuwa kwenye harusi na mimi nina movement zangu za kupinga tozo.
Wewe hatukujui zaidi ya kutumia fake ID humu...hii nchi watu wamejaribu Sana kuwakomboa lakini ni sikio la kufa mnawalipa kwa kuchagua CCM tupu bungeni..haya hakuna mbunge hata mmoja amewatetea.Mwigulu anaposema walipewa ushauri na wananchi unadhani amekosea? Umewakilishwa na mbunge wako ulomchagua! Ningekuwa mbowe ningekaa kimya na kulamba asali yangu maana unawatetea watu ambao hawapajui mahabusu panafananaje
 
Wewe mwenyewe FAKE mwenzangu 😂
 
Wewe mwenyewe FAKE mwenzangu 😂
Kutumia alias online si kuwa fake.

Ni sehemu ya haki za kikatiba za faragha na kutoa maoni.

Watu ambao hawana sophistication tu ndiyo wanaona mtu kutumia haki yake ya kikatiba ya kulinda faragha na kutoa maoni ni kuwa fake.

Lakini Mbowe mpaka leo haruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara inayoruhusiwa na katiba.

Na tulifikiri ilikuwa sababu ya ubabe wa bulldozer gubegube Magufuli tu, kumbe hata mwanamama wa Kizanzibari anampelekesha.
 
Back
Top Bottom