Hivi mdada akitoa mimba ndio uwezekano wa kupata ingine kwa haraka unakuwa mkubwa?

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Nina mdogo angu wa kike akiwa mwaka wa pili alipata mimba ki utani utani kama serious serious ila ndio ivyo kitu kikanasa

Akaona isiwe kesi akafanya siri tusijue akatoa mimba,ila kwakua bahati yake mbaya alizaliwa Black friday Mimba ikatoka ila kwa mbinde

Ikapelekea aumwe nusu kufa nakumbuka alilazwa miezi miwili hospital na hali ilipomzidia akaona aseme ukweli (siri ikawa nnje)

Haya watu tukafunga macho maana kama kosa kashafanya hamna aliemsema wala nini baada ya kupona akarudi zake chuo masomo yakaendelea

Haya akaingia mwaka wa mwisho chuo Kamaliza this year,Muda si mrefu katoka nitumia msg

"eti kaka kwa mfano saivi nikipata mimba tena nifanyeje eti,nishauri broo"

Nilivyoona hilo swali kamoyo kaka dunda ila nikakituliza,baada ya kumchimba chimba na kuunganisha DOT nikagundua dogo kanasa ingine

Hivi huyu atakua na mapepo au Maupepo?

nina swali pia, hivi mdada akitoa mimba ndio uwezekano wa kupata ingine kwa haraka unakua mkubwa au ni rafu tu za huyu mdogo angu ndo zilizomponza??
 
Pole Mkuu. Ingizo jipya la single mother mtaani linakuja.
 
Kwanza pole sana,

Pili kwa vile hili sitapata pengine pa kulisemea, hapa limepata fursa maana itawagusa wengine wenye tabia chafu ( kama wewe si mmoja wao)

nimeshangaa sana kwa mwanamme wa jf kuuliza swali kama hili, hivi humu huwa mkishabikia, kuwala, kuwagegeda na kuwatia mimba binti na dada za watu huwa mnajisahau kabisa hata ndg zenu wako kwenye same society mnavyofurahia uharibifu wa watoto wa watu mjue wa kwenu hawasalimiki
 
Mwambie hivi, "Kama ukipata mimba nitafurahi Sana maana kwa Sasa natamani na nahitaji kuwa na ka uncle kutoka kwako"
Hapo utakuwa tu umemuondolea hofu na kumtia moyo kwamba hata kama ameshaharibu tena maisha bado yanaendelea.
 
Mwambie tu azae,,maana pesa ya kumpa ili atoe kwa sasa huna na ikizingatiwa ili ya kwanza ilitoka kwa mbinde,
Japo nahisi mleta mada umekuja kuuliza kijanja na huyo si dadako!! Mhimu fanya tu umuoe
 
Mwambie azae saivi akotoa atakufa
hata mi ndio nilichomwambia,nimemwambia atafute pori akajifiche Arudi akiwa na mtoto Asije akarudi bila mtoto watamtoa utumbo hawa raia
 
Kwanza pole sana,
Pili kwa vile hili sitapata pengine pa kulisemea, hapa limepata fursa maana itawagusa wengine wenye tabia chafu ( kama wewe si mmoja wao)
nimeshangaa sana kwa mwanamme wa jf kuuliza swali kama hili, hivi humu huwa mkishabikia, kuwala, kuwagegeda na kuwatia mimba binti na dada za watu huwa mnajisahau kabisa hata ndg zenu wako kwenye same society mnavyofurahia uharibifu wa watoto wa watu mjue wa kwenu hawasalimiki
Kwanza Asante Sana,

Pili kwa vile mimi si mmoja wao ingependeza comment yako ikasoma " wakishabikia" na sio "mkishabikia" na wala isiwe "Mnavyofurahia" na iwe "wanavyofurahia"

Umejiunga 2007 naamini kabisa una uwezo wa kutofautisha "nafsi" unapo ongelea kitu au watu flani.
 
Mwambie hivi, "Kama ukipata mimba nitafurahi Sana maana kwa Sasa natamani na nahitaji kuwa na ka uncle kutoka kwako"
Hapo utakuwa tu umemuondolea hofu na kumtia moyo kwamba hata kama ameshaharibu tena maisha bado yanaendelea.
nilimwambia hivi ila in a way ambayo haikua direct...i did it in (indirect way)
 
Nina mdogo angu wa kike Akiwa sec year alipata mimba ki utani utani kama serious serious ila ndio ivyo kitu kikanasa

Akaona isiwe kesi akafanya siri tusijue Akatoa mimba,ila kwakua bahati yake mbaya alizaliwa Black friday Mimba ikatoka ila kwa mbinde

Ikapelekea aumwe nusu kufa nakumbuka alilazwa miezi miwili hospital na hali ilipomzidia akaona aseme ukweli (siri ikawa nnje)

Haya watu tukafunga macho maana kama kosa kashafanya hamna aliemsema wala nini baada ya kupona akarudi zake chuo masomo yakaendelea

Haya akaingia mwaka wa mwisho chuo Kamaliza this year,Muda si mrefu katoka nitumia msg

"eti kaka kwa mfano saivi nikipata mimba tena nifanyeje eti,nishauri broo"

Nilivyoona hilo swali kamoyo kaka dunda ila nikakituliza,baada ya kumchimba chimba na kuunganisha DOT nikagundua dogo kanasa ingine

Hivi huyu atakua na mapepo au Maupepo?

nina swali pia, hivi mdada akitoa mimba ndio uwezekano wa kupata ingine kwa haraka unakua mkubwa au ni rafu tu za huyu mdogo angu ndo zilizomponza??
Inaonekana ana penda sana mchezo pendwa. Uzuri wa ile kitu haina bahati mbaya,bali ni kitu cha makusudi. Ukifanya bila kinga lazima unase!
 
Mwambie tu azae,,maana pesa ya kumpa ili atoe kwa sasa huna na ikizingatiwa ili ya kwanza ilitoka kwa mbinde,
Japo nahisi mleta mada umekuja kuuliza kijanja na huyo si dadako!! Mhimu fanya tu umuoe
Mkuuu mimi mwanamke yeyote ataeshika ujauzito wangu,lazima Azae na haya maneno nawambiaga Day 1 kabla hata hatujaanza fanya sex kwa mara ya kwanza

So natakaga wakae wakitambua kua watakapo ipata jibu langu huwa nafanyaga "reference" tu ya mazungumzo ya day 1.

Sijawahi shiriki dhambi hiyo mkuu
 
Inaonekana ana penda sana mchezo pendwa. Uzuri wa ile kitu haina bahati mbaya,bali ni kitu cha makusudi. Ukifanya bila kinga lazima unase!
sio siri yupo kama mimi tu,bahati yangu mimi wakiume (ndio pona yangu) la sivyo hadi umri huu ningeshakua na school bus
 
Kwanza Asante Sana,

Pili kwa vile mimi si mmoja wao ingependeza comment yako ikasoma " wakishabikia" na sio "mkishabikia" na wala isiwe "Mnavyofurahia" na iwe "wanavyofurahia"

Umejiunga 2007 naamini kabisa una uwezo wa kutofautisha "nafsi" unapo ongelea kitu au watu flani.
Ahsante kwa vile wewe sio mmoja wao
Respect mkuu
Hapo nilikuwa nawaaddress wahusika wewe nilishakutoa pale kwenye mabano soma vizuri btn lines.
Pole mkuu
 
Hizo tetesi za ukitoa unapata ingine fasta zipo..yasemekana ni kweli

I bet she is arnd 22/23 labda Namshauri sasa azae tu then ajipange kubounce back kuchakarika na maisha after mwaka mmoja
Hana mapepo wala nini mwili uko timamu kbs.,

Hii dhambi wengi wanaishiriki..ndani ya ndoa ndo usiseme., basi tu Mungu anaturehemu
 
Back
Top Bottom