CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Nina mdogo angu wa kike akiwa mwaka wa pili alipata mimba ki utani utani kama serious serious ila ndio ivyo kitu kikanasa
Akaona isiwe kesi akafanya siri tusijue akatoa mimba,ila kwakua bahati yake mbaya alizaliwa Black friday Mimba ikatoka ila kwa mbinde
Ikapelekea aumwe nusu kufa nakumbuka alilazwa miezi miwili hospital na hali ilipomzidia akaona aseme ukweli (siri ikawa nnje)
Haya watu tukafunga macho maana kama kosa kashafanya hamna aliemsema wala nini baada ya kupona akarudi zake chuo masomo yakaendelea
Haya akaingia mwaka wa mwisho chuo Kamaliza this year,Muda si mrefu katoka nitumia msg
"eti kaka kwa mfano saivi nikipata mimba tena nifanyeje eti,nishauri broo"
Nilivyoona hilo swali kamoyo kaka dunda ila nikakituliza,baada ya kumchimba chimba na kuunganisha DOT nikagundua dogo kanasa ingine
Hivi huyu atakua na mapepo au Maupepo?
nina swali pia, hivi mdada akitoa mimba ndio uwezekano wa kupata ingine kwa haraka unakua mkubwa au ni rafu tu za huyu mdogo angu ndo zilizomponza??