Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kubishana na Masikini ni kupoteza mudaWewe endelea kujifungia huko acha wanaume wapambane.
0.79% inatosha.
Jikite katika hoja ya Kikao cha Kamati Kuu. Ya Mdude muachie mduduBado tunajiuliza kama Jeshi la Polisi linatumia mbinu gani kwenye kuhoji watuhumiwa.
Mdude alishajieleza kwamba hayuko tayari kutoa maelezo yoyote polisi, lakini bado Polisi wanamhangaisha na kujihangaisha wenyewe.
Njia Pekee ya kupambana na Mdude ni Kumshitaki tu , Hakuna namna nyingine yoyote ile.
Wastage of public fundsBado tunajiuliza kama Jeshi la Polisi linatumia mbinu gani kwenye kuhoji watuhumiwa.
Mdude alishajieleza kwamba hayuko tayari kutoa maelezo yoyote polisi, lakini bado Polisi wanamhangaisha na kujihangaisha wenyewe.
Njia Pekee ya kupambana na Mdude ni Kumshitaki tu , Hakuna namna nyingine yoyote ile.
Huyo mvuta bangi anakesi kila mkoa ametukana wafu wengi na RB kibao zimetapakaa atazungushwa kila mkoa na kuishia jela kosa alifanya Samia kumpa msamaha eti maridhiano unaridhia na VP na wavuta bangiBado tunajiuliza kama Jeshi la Polisi linatumia mbinu gani kwenye kuhoji watuhumiwa.
Mdude alishajieleza kwamba hayuko tayari kutoa maelezo yoyote polisi, lakini bado Polisi wanamhangaisha na kujihangaisha wenyewe.
Njia Pekee ya kupambana na Mdude ni Kumshitaki tu , Hakuna namna nyingine yoyote ile.
Mdude ni mhalifu tu na ww acha kutetea watu wahalifu nenda kwenye kurasa zake za x na fb utajua uhalifu wakeBado tunajiuliza kama Jeshi la Polisi linatumia mbinu gani kwenye kuhoji watuhumiwa.
Mdude alishajieleza kwamba hayuko tayari kutoa maelezo yoyote polisi, lakini bado Polisi wanamhangaisha na kujihangaisha wenyewe.
Njia Pekee ya kupambana na Mdude ni Kumshitaki tu , Hakuna namna nyingine yoyote ile.
Exactly,siwezi mtetea mdude ni mhalifu sanaHana adabu kabisa yule. Ikibidi arejeshwe tena Songwe kwa mahojiano zaidi. Taifa haliwezi kuendelea kufumbia macho watu wasio jitambua na ambao muda wote wanatukana matusi hovyo hovyo kama kichaa au mwendawazimu.
Inatakiwa akitoka awe na adabu.
Umekosa jibu naonaHii inakuzidi IQ hapo Mkata
USSR
Mdude hakuwahi kusamehewa na Samia, Alishinda KesiHuyo mvuta bangi anakesi kila mkoa ametukana wafu wengi na RB kibao zimetapakaa atazungushwa kila mkoa na kuishia jela kosa alifanya Samia kumpa msamaha eti maridhiano unaridhia na VP na wavuta bangi
USSR
Wewe ni mtu duni sana, huyawezi mambo haya, Endelea kushabikia Wauaji, ila Tambua kwamba Shetani hana RafikiHana adabu kabisa yule. Ikibidi arejeshwe tena Songwe kwa mahojiano zaidi. Taifa haliwezi kuendelea kufumbia macho watu wasio jitambua na ambao muda wote wanatukana matusi hovyo hovyo kama kichaa au mwendawazimu.
Inatakiwa akitoka awe na adabu.