Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Vikundi vya kigaidi ndo hutumia njia hizo kuwadhibiti wanaowapinga.Bado tunajiuliza kama Jeshi la Polisi linatumia mbinu gani kwenye kuhoji watuhumiwa.
Mdude alishajieleza kwamba hayuko tayari kutoa maelezo yoyote polisi, lakini bado Polisi wanamhangaisha na kujihangaisha wenyewe.
Njia Pekee ya kupambana na Mdude ni Kumshitaki tu , Hakuna namna nyingine yoyote ile.
Mkuu
Kuna laana inakuja yaami tauni mbaya sana dhidi ya polisi na CCM. Wanaamini hawagusiki, asili itawaadabisha