LGE2024 Hivi Mdude Nyagali atahojiwa Vituo Vingapi, Kwani Polisi hawatumii TEHAMA? Sasa hivi kaletwa Dar es salaam

LGE2024 Hivi Mdude Nyagali atahojiwa Vituo Vingapi, Kwani Polisi hawatumii TEHAMA? Sasa hivi kaletwa Dar es salaam

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Bado tunajiuliza kama Jeshi la Polisi linatumia mbinu gani kwenye kuhoji watuhumiwa.

Mdude alishajieleza kwamba hayuko tayari kutoa maelezo yoyote polisi, lakini bado Polisi wanamhangaisha na kujihangaisha wenyewe.

Njia Pekee ya kupambana na Mdude ni Kumshitaki tu , Hakuna namna nyingine yoyote ile.
Vikundi vya kigaidi ndo hutumia njia hizo kuwadhibiti wanaowapinga.

Mkuu
Kuna laana inakuja yaami tauni mbaya sana dhidi ya polisi na CCM. Wanaamini hawagusiki, asili itawaadabisha
 
Kama kurasa zake za x na fb zina ushahidi wa uhalifu wake wanamhoji kitu gani?
Si wampeleke mahakamani wakamshtaki.
Kwa kuwa huna akili huwezi kuelewa kwamba kurasa zake z X na fb zipo kitaalamu na kimkakati kiasi kwamba hauwezi kumshtaki kwa ushahidi wa hizo kurasa
Nenda kamtoe
 
Nafurahi umeelewa hili, polisi isisumbuke na matahaira, "likitukana kamata chapa bakora"
Pimia madhila aliyoyapitia sativa, tafakari, uone kama ni mzima wa akili, pitia, Ulimboka utagundua huyu ni mzima kiakili, (hawa wana ukichaa type 2)
Hawawezi chukua ushauri wa mtu mjinga kama wewe
 
Back
Top Bottom