LGE2024 Hivi Mdude Nyagali atahojiwa Vituo Vingapi, Kwani Polisi hawatumii TEHAMA? Sasa hivi kaletwa Dar es salaam

LGE2024 Hivi Mdude Nyagali atahojiwa Vituo Vingapi, Kwani Polisi hawatumii TEHAMA? Sasa hivi kaletwa Dar es salaam

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huyo mvuta bangi anakesi kila mkoa ametukana wafu wengi na RB kibao zimetapakaa atazungushwa kila mkoa na kuishia jela kosa alifanya Samia kumpa msamaha eti maridhiano unaridhia na VP na wavuta bangi

USSR
Ilibidi dikteta mwendakuzimu ambambikie kesi ya madawa ili kumuweka gerezani. Mwambieni ajuza chura kiziwi naye afanye hivyo kama anakereka sana
 
Bado tunajiuliza kama Jeshi la Polisi linatumia mbinu gani kwenye kuhoji watuhumiwa.

Mdude alishajieleza kwamba hayuko tayari kutoa maelezo yoyote polisi, lakini bado Polisi wanamhangaisha na kujihangaisha wenyewe.

Njia Pekee ya kupambana na Mdude ni Kumshitaki tu , Hakuna namna nyingine yoyote ile.
Bado Mkoa wa Mara, halafu kesi inafunguliwa Lindi au wilaya ya Tanganyika huko Katavi
 
Mdude ni mhalifu tu na ww acha kutetea watu wahalifu nenda kwenye kurasa zake za x na fb utajua uhalifu wake
Kama kurasa zake za x na fb zina ushahidi wa uhalifu wake wanamhoji kitu gani?
Si wampeleke mahakamani wakamshtaki.
Kwa kuwa huna akili huwezi kuelewa kwamba kurasa zake z X na fb zipo kitaalamu na kimkakati kiasi kwamba hauwezi kumshtaki kwa ushahidi wa hizo kurasa
 
Huyo mvuta bangi anakesi kila mkoa ametukana wafu wengi na RB kibao zimetapakaa atazungushwa kila mkoa na kuishia jela kosa alifanya Samia kumpa msamaha eti maridhiano unaridhia na VP na wavuta bangi

USSR
Sasa kesi ya mvuta Bangi, ndiyo iwatie jamba jamba mda wote huo si ingekuwa hivyo siku hiyo hiyo wangempandisha kizimbani na kusomewa mashtaka yake na kuhumiwa. Mdude siyo mvuta Bangi, mdude ni kama watanzania wengine ambao wamechoka na mambo yanavyoendeshwa nchini ila wanaogopa kuongea ila mdude yeye anaongea wazi wazi sima Lugha anayotumia kufikisha ujumbe wake anatumia maneno makali na kuudhi wale wanao fanya huo uovu. Ila kundi la kina mdude linaongezeka siku baada ya siku wakiwemo na Akina soko, sativa, yeriko nyelele, Malisa, na wengine wengi jinsi unavyo wakamata na kuwatesa na kuwauwa ndivyo wanazidi kuongezeka. Hiyo ni kanuni wala sikutunga mimi.
 
Kiukweli Mdude kama anawashauri wazuri wamwambie awe mpole.. mtawalaumu polisi lakini kiukweli anazingua!... pia ajifunze kwa Freeman Mbowe, Tundu Lissu au kwa John Mnyika.
 
Hana adabu kabisa yule. Ikibidi arejeshwe tena Songwe kwa mahojiano zaidi. Taifa haliwezi kuendelea kufumbia macho watu wasio jitambua na ambao muda wote wanatukana matusi hovyo hovyo kama kichaa au mwendawazimu.

Inatakiwa akitoka awe na adabu.
FB_IMG_1732381054839.jpg

Huyu alikamatwa na kuhojiw?
 
Huyo mvuta bangi anakesi kila mkoa ametukana wafu wengi na RB kibao zimetapakaa atazungushwa kila mkoa na kuishia jela kosa alifanya Samia kumpa msamaha eti maridhiano unaridhia na VP na wavuta bangi

USSR
Finally Mahakamani ndo last resort,
Polisi hawatakuja kuwa mahakama,
Waeleze hao wajinga POLICCM!
 
Back
Top Bottom