Mtani wa Taifa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 953
- 3,318
Mwisho wa cv yake iandikwe kuwa anamiliki mabwana wawili huko jela wanaompiga mtungo kila akienda jela ndio maana huwa haishi kutafuta sababu za kurudi jela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaandika hovyoMwisho wa cv yake iandikwe kuwa anamiliki mabwana wawili huko jela wanaompiga mtungo kila akienda jela ndio maana huwa haishi kutafuta sababu za kurudi jela.
Kondoo mkorofi ndio anayechinjwa siku ya sikukuuUsalama wa nini tena mkuu?
Ile losheni imekukubali,naona matokeo kupitia profile yako.Mwisho wa cv yake iandikwe kuwa anamiliki mabwana wawili huko jela wanaompiga mtungo kila akienda jela ndio maana huwa haishi kutafuta sababu za kurudi jela.
Ni nani aliyekwambia Mdude alishinda kesi?Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria...
Saaaana.Ana roho ngumu sanaaaa
Kila munavojibiwa kuhusu bandari za zanzibar munarudia tena kuuliza mujibiwe mara ngapi? Bandari sio suala la muungano sawaHakuna kukosoa kwa usraarabu.
A ni A na B ni B Samia kakosea na inabidi akemewe hadharani.
Kwanini asigawe na bandari za Zanzibar?
Je, ni upendo gani mkuu alio nao kwa Tanganyika kuliko Zanzibar ambako ndio kwake?
Kwa hayo maneno yako inaonyesha huu mfumo wa Muungano uliopo huufahamu vizuriHakuna muungano ambao Mzanzibari anaweza kupata ardhi na hata kugombea cheo chochote huku Tanganyika, lakini mtanganganyika ukienda Zanzibar huwezi kupata chochote kati ya hivyo. Huo sio muungano bali ni utapeli wa mchana kweupe.
Ili niufahamu vizuri inabidi iweje kwa mfano?Kwa hayo maneno yako inaonyesha huu mfumo wa Muungano uliopo huufahamu vizuri
chadema hawaogopi kuharibiwa maridhiano yao na ule upande? Wangemfunga speed governor apunguze kuongea makavu. Asubiri wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ndio awe free kuongea atakavyoMdude Chadema ni nani? Nani ana Cv ya huyu mtu?
I want to study him so that I can write a personal analysis report ( intelligency report) about this guy and use his brass approach spirit in my personal ventures.
Ni mtu wa kipekee sana... watu wasio ogopa kama Mdude Chadema duniani wapo wachache sana.
Aisee ukiitumia spirit ya huyu jamaa kwenye mambo yako kwenye maisha huwezi kuwa umasikini coz hakuna kitu ambacho kitakutisha kwenye harakati zako za utafufaji. Sio mchawi sio mfitini wala jirani msengenyaji.
Mwenye cv ya Mdude Chadema please mwagika hapa.
Elimu yake plus age yake na miaka aliyo hitimu shule.
Duh ...!. Sikubahatika kuusikia hii, ukiweza kutupatia links, tutashukuru, ila kama ni kweli, hizi sio lugha za kistaarabu na kiungwana, niliwahi kushauri Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"
Ni muhimu viongozi wakawakanya wafuasi wao wanapovuka mipaka kwa kutoa lugha na kauli ambazo sio za kistaarabu na kiungwana. Mbowe ni msataafu na muungwana sana, aliwahi kuwasihi wafuasi wake kuacha lugha za kuudhi, ila viongozi wengine wa Chadema bado na mfano mzuri ni huyu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.
Naunga mkono hoja, tena hakuna kesi yoyote ya uhaini itakayofunguliwa ni kesi tuu ya uchochezi, yaani sedition and not treason!.Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
Chadema wamezoea kushabikia wahuni!Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.
Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.
Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi
Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"
Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.
Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
Kweli maisha yanaenda kasi[emoji16][emoji16]Zamani nilikupiga spana sahivi tupo pamoja
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninamlaumu Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA kwa kutomsaidia Mdude kisaikolojia na kumwacha aangamie. Mbona kina Malisa GJ na yule mtoto wa Mbowe hawapati kashkash kama za Mdude?
Jibu ni kuwa wazazi wao ambao pia ni wamiliki wa CHADEMA wanawaongoza vizuri na kuwaonya kuhusu uropokaji. Mdude kwasababu ni mtu baki ni kama wamemtoa kafara.
Anachoambulia ni hashtag ya free mdude. Kina Mnyika wao huwa hawakamatwi kwa sababu wanajua timing ya kuongea.
Mdude kama watoto wengine kutoka familia maskini wanawekwa mstari wa mbele kimakusudi na mmiliki wa CHADEMA Sultan Mbowe.
Wewe ulijua mama yenu ni yupi? kama ni mama ake Mbowe?Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.
Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.
Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi
Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"
Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.
Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
Maslahi yake yameguswa hata Nape 2017-2021 alikuwa ni mpinzani