Hivi mechi zilizobaki hawawezi kuzimaliza kwa kupigiana penalti?

Hivi mechi zilizobaki hawawezi kuzimaliza kwa kupigiana penalti?

born in june

Senior Member
Joined
Dec 5, 2018
Posts
168
Reaction score
338
Nimekaa nikafikiria kwamba, kwa sababu ya janga la Corona, sio salama sana kwa wachezaji kucheza pamoja, na haina utamu wa ligi kama hakuna washabiki.

Ningeshauri MECHI ZOTE ZILIZOBAKI, USHINDI UTAFUTWE KWA KUPIGIANA PENALTI, ili baadae sasa, tuweke mfumo mzuri wa kutafuta jinsi ya kukabiliana na majanga yanayoweza kutokea wakati ligi inaendelea.

Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom