Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matoke yote matatu yatakuwepo. Penati 5. Ukifungwa umepoteza, ukifunga umepata point 3, Kama mtatoa sare point moja. Hakuna kuongeza penati.Sio lazima kwa sababu pointi zinaendelea kama kawaida. Anayeshinda anakuw na pointi 3. Sema tatizo linakuja moja kwmb HAKUTAKUW NA DROO...!!! Au unawekwa mfumo wa kuwa na idadi fulani ya penalti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana aisee kitu kama hicho. Sisi tunataka burdani mambo ya penalties kwangu naona ni kuwekana roho juu tu nani anataka aisee.
Tena ningependezwa zaidi kama mechi ya Watani wa jadi ikarudiwa. 😅😅😅
Yap. Hii imekaa poaMatoke yote matatu yatakuwepo. Penati 5. Ukifungwa umepoteza, ukifunga umepata point 3, Kama mtatoa sare point moja. Hakuna kuongeza penati.
😂😂😂😂Nimekaa nikafikiria kwamba, kwa sababu ya janga la Corona, sio salama sana kwa wachezaji kucheza pamoja, na haina utamu wa ligi kama hakuna washabiki.
Ningeshauri MECHI ZOTE ZILIZOBAKI, USHINDI UTAFUTWE KWA KUPIGIANA PENALTI, ili baadae sasa, tuweke mfumo mzuri wa kutafuta jinsi ya kukabiliana na majanga yanayoweza kutokea wakati ligi inaendelea.
Naomba kuwasilisha...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajua ligi ikishaisha Mtani. 😎😎Nyie mnagombea namba ngapi msimu huu?
Tutajua ligi ikishaisha Mtani. 😎😎