Hivi mechi zilizobaki hawawezi kuzimaliza kwa kupigiana penalti?

Hivi mechi zilizobaki hawawezi kuzimaliza kwa kupigiana penalti?

Hapana aisee kitu kama hicho. Sisi tunataka burdani mambo ya penalties kwangu naona ni kuwekana roho juu tu nani anataka aisee.

Tena ningependezwa zaidi kama mechi ya Watani wa jadi ikarudiwa. 😅😅😅
Hahaha

We ndo wa kwanza nakuona wataka mechi ya marudiano mtani.

Hivi kwanini watani wengi mwaomba korona iendeleee? Kuna nini nyuma yake
 
Hahaha

We ndo wa kwanza nakuona wataka mechi ya marudiano mtani.

Hivi kwanini watani wengi mwaomba korona iendeleee? Kuna nini nyuma yake
Hahahaaa. Turudiane tu sababu Corona imefanya tukasahau kama tumeshacheza mechi ya raundi ya pili. 🤣🤣🤣

Mie hata sio mmoja wao Mtani. Natamani iendelee kisha iishe ili Timu ya Wananchi tujipange na kurudi upya msimu wa 2020/2021.
 
Kama unataka yanga ishuke daraja sawa.
Kila timu itapambana na hali yake...!!! Ila ligi itakuwa imeisha. Faida ya penalti ni kwamba
1. Yenye magoli mengi mpaka sasa itazidi kuwa na idadi kubwa ya magoli
2. Mfungaji anayeongoza ataendelea kuongoza kama atakuw na uhakika wa kufunga kila penalti.
3. Timu zitajua uwezo wa wachezaji wao kupiga penalti.
4. Kila timu itakuw na uhakika wa ushindi.
5. Wachezaji hawatachoka.
6. Tutakuw tunajikinga na CORONA kwa sababu hakutakuw na sababu ya kugusana wakati wa kupiga penalti au kushangilia.
7. Ligi tutakuwa tumeimaliza na kuondoa mkanganyiko uliopo ss hv.
8. Timu zote zitakuwa na EQUAL OPPORTUNITY ya kuendelea, kupanda au kushuka daraja.
9. Zinapunguza upendeleo wa nani kapewa au kanyimwa goli kwa sababu WOTE MNAPIGA PENALTI.

e.t.c

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa nikafikiria kwamba, kwa sababu ya janga la Corona, sio salama sana kwa wachezaji kucheza pamoja, na haina utamu wa ligi kama hakuna washabiki.

Ningeshauri MECHI ZOTE ZILIZOBAKI, USHINDI UTAFUTWE KWA KUPIGIANA PENALTI, ili baadae sasa, tuweke mfumo mzuri wa kutafuta jinsi ya kukabiliana na majanga yanayoweza kutokea wakati ligi inaendelea.

Naomba kuwasilisha...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kali bila shaka Kmc watachukua ubingwa maana kaseja ni hodari wa penalt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom