Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sijambo mimi jamani babake!!
Nani amekuficha etii jamanii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijambo mimi jamani babake!!
Ni hii swaumu tu mama ake.Sijambo mimi jamani babake!!
Nani amekuficha etii jamanii
Ina maana Simba hawajiamini kiasi hicho? Tena uzuri ni kwamba timu zote zinakuwa hazina ile pressure ya mashabiki. Palepale Taifa zinapigwa penati hata kma ni kila siku kwa idadi ya mechi zilizobakiSimba tukose ubingwa kwa mambo ya bahati nasibu( Betting. Penalty )
Hapana aisee kitu kama hicho. Sisi tunataka burdani mambo ya penalties kwangu naona ni kuwekana roho juu tu nani anataka aisee.
Unanitenga sana mimi jamani babakeNi hii swaumu tu mama ake.
Nipo mtaani uku nakusubiria tuje tule IDD pamoja tu
HahahaHapana aisee kitu kama hicho. Sisi tunataka burdani mambo ya penalties kwangu naona ni kuwekana roho juu tu nani anataka aisee.
Tena ningependezwa zaidi kama mechi ya Watani wa jadi ikarudiwa. 😅😅😅
Unajua fika kabisa sina ubavu huoUnanitenga sana mimi jamani babake
Tatizo uko na makazi kila kona, mpaka nachoka mimi jamani babakeUnajua fika kabisa sina ubavu huo
Afu serious nakusubiria, sikuu tuje kula pamoja.
Mi siku zote nipo shamba mama ake,Tatizo uko na makazi kila kona, mpaka nachoka mimi jamani babake
Halafu kuna kipindi nilikuwa nataka miche ya milimao babake, sema nilikuwa nje ya mtandao!!Mi siku zote nipo shamba mama ake,
Sina makazi mengi.
Nipo naandaa kitalu changu cha ndimu tu.
Hahahaaa. Turudiane tu sababu Corona imefanya tukasahau kama tumeshacheza mechi ya raundi ya pili. 🤣🤣🤣Hahaha
We ndo wa kwanza nakuona wataka mechi ya marudiano mtani.
Hivi kwanini watani wengi mwaomba korona iendeleee? Kuna nini nyuma yake
Kila timu itapambana na hali yake...!!! Ila ligi itakuwa imeisha. Faida ya penalti ni kwambaKama unataka yanga ishuke daraja sawa.
Doooh!!Kama unataka yanga ishuke daraja sawa.
Hii kali bila shaka Kmc watachukua ubingwa maana kaseja ni hodari wa penaltNimekaa nikafikiria kwamba, kwa sababu ya janga la Corona, sio salama sana kwa wachezaji kucheza pamoja, na haina utamu wa ligi kama hakuna washabiki.
Ningeshauri MECHI ZOTE ZILIZOBAKI, USHINDI UTAFUTWE KWA KUPIGIANA PENALTI, ili baadae sasa, tuweke mfumo mzuri wa kutafuta jinsi ya kukabiliana na majanga yanayoweza kutokea wakati ligi inaendelea.
Naomba kuwasilisha...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima kwa sababu pointi zinaendelea kama kawaida. Anayeshinda anakuw na pointi 3. Sema tatizo linakuja moja kwmb HAKUTAKUW NA DROO...!!! Au unawekwa mfumo wa kuwa na idadi fulani ya penaltiHii kali bila shaka Kmc watachukua ubingwa maana kaseja ni hodari wa penalt
Sent using Jamii Forums mobile app