Hivi mechi zilizobaki hawawezi kuzimaliza kwa kupigiana penalti?

Hivi mechi zilizobaki hawawezi kuzimaliza kwa kupigiana penalti?

Sio lazima kwa sababu pointi zinaendelea kama kawaida. Anayeshinda anakuw na pointi 3. Sema tatizo linakuja moja kwmb HAKUTAKUW NA DROO...!!! Au unawekwa mfumo wa kuwa na idadi fulani ya penalti

Sent using Jamii Forums mobile app
Matoke yote matatu yatakuwepo. Penati 5. Ukifungwa umepoteza, ukifunga umepata point 3, Kama mtatoa sare point moja. Hakuna kuongeza penati.
 
Hapana aisee kitu kama hicho. Sisi tunataka burdani mambo ya penalties kwangu naona ni kuwekana roho juu tu nani anataka aisee.

Tena ningependezwa zaidi kama mechi ya Watani wa jadi ikarudiwa. 😅😅😅

Nyie mnagombea namba ngapi msimu huu?
 
Nimekaa nikafikiria kwamba, kwa sababu ya janga la Corona, sio salama sana kwa wachezaji kucheza pamoja, na haina utamu wa ligi kama hakuna washabiki.

Ningeshauri MECHI ZOTE ZILIZOBAKI, USHINDI UTAFUTWE KWA KUPIGIANA PENALTI, ili baadae sasa, tuweke mfumo mzuri wa kutafuta jinsi ya kukabiliana na majanga yanayoweza kutokea wakati ligi inaendelea.

Naomba kuwasilisha...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂

Wazo zuri lakini.
 
Kibongo bongo hamna haja hata ya kuingia uwanjani, wengine si humalizia mambo nje kabla ya mechi kuanza ? Kamati ziwezeshwe wababe wagawane pointi.
 
Back
Top Bottom