Nimekaa nikafikiria kwamba, kwa sababu ya janga la Corona, sio salama sana kwa wachezaji kucheza pamoja, na haina utamu wa ligi kama hakuna washabiki.
Ningeshauri MECHI ZOTE ZILIZOBAKI, USHINDI UTAFUTWE KWA KUPIGIANA PENALTI, ili baadae sasa, tuweke mfumo mzuri wa kutafuta jinsi ya kukabiliana na majanga yanayoweza kutokea wakati ligi inaendelea.