Hivi member sijamuona kabisa humu na si kawaida yake

Hivi member sijamuona kabisa humu na si kawaida yake

Kuna huyu member mwenzetu Erythrocyte toka JF imefunguliwa sijamuona kabisa akikoment popote na si kawaida yake.

Si vibaya kulizana maana shetani ameshika hatam
Mara ya mwisho alipost tarehe 06/09/2025 siku ambapo Serikali iliifungia JF. Ni pamoja na ChoiceVariable , Tlaatlaah
, johnthebaptist

Hawajui kama kuna dunia ya VPN
 
Kuna huyu member mwenzetu Erythrocyte toka JF imefunguliwa sijamuona kabisa akikoment popote na si kawaida yake.

Si vibaya kulizana maana shetani ameshika hatam
Sio kwa ubaya ila jamaa nimemuona last week hapa Area 47 Lilongwe kavalia miwani yake myeusi kama kawaida,ni ndugu yangu.
Yupo salama kabisa,sema kurudi huko kwenu kwa sasa...
 
Kuna kuumwa au kufa.

Kuna kutojua kama mtu anaweza kutumia vpn kuingia humu.

Kuna kupoteza interest na mitandao.

Kuna kupoteza kifaa na kushindwa kununua kipya.

Halafu kuna baba lao, KUTEKWA NA KUPOTEZWA KABISA
 
Kwa mashujaa wote wa JamiiForums waliouawa kwenye Masacre hii, Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi.
Najua tu kwa namna moja ama nyingine kuna wana jf wengi wameuawa pia.

Hawa watu wameua ndugu zetu wengi kama nini sijui maana nikisema kama kuku au mnyama yoyote, hakuna kati yao anastahili kufa kwa aina ya mauaji yale.

Inabidi jf waweke ka mini site ambapo wadau mbalimbali waconfirm juu ya uhai ama usalama wao.

Na wale watakaotambulika hawajathibitisha kuwa hai, Tuwape heshima zao za mwisho kama wanajukwaa.

Niko hapa kuthibitisha, mwisho wa haya yote umekaribia.
 
Back
Top Bottom