Jf imefunguliwa lini?Kuna huyu member mwenzetu Erythrocyte toka JF imefunguliwa sijamuona kabisa akikoment popote na si kawaida yake.
Si vibaya kulizana maana shetani ameshika hatam
Mara ya mwisho alipost tarehe 06/09/2025 siku ambapo Serikali iliifungia JF. Ni pamoja na ChoiceVariable , TlaatlaahKuna huyu member mwenzetu Erythrocyte toka JF imefunguliwa sijamuona kabisa akikoment popote na si kawaida yake.
Si vibaya kulizana maana shetani ameshika hatam
Choice variable dogo my take.Mara ya mwisho alipost tarehe 06/09/2025 siku ambapo Serikali iliifungia JF. Ni pamoja na ChoiceVariable , Tlaatlaah
, johnthebaptist
Hawajui kama kuna dunia ya VPN
Huyu min -me yupo maana mpaka tarehe 4/ 11 alikuwa ana post. Ila raraa reree ndiyo kapotea since March 2025min -me yuko wapi huyu mdau
Aliyekwambia jf imefunguliwa ni nani? Au upo USA mwenzetu?Kuna huyu member mwenzetu Erythrocyte toka JF imefunguliwa sijamuona kabisa akikoment popote na si kawaida yake.
Si vibaya kulizana maana shetani ameshika hatam
Namimi ndio nashangaaJf imefunguliwa lini?
Raraa redeem ni muda kweli ha like!Huyu min -me yupo maana mpaka tarehe 4/ 11 alikuwa ana post. Ila raraa reree ndiyo kapotea since March 2025
Sio kwa ubaya ila jamaa nimemuona last week hapa Area 47 Lilongwe kavalia miwani yake myeusi kama kawaida,ni ndugu yangu.Kuna huyu member mwenzetu Erythrocyte toka JF imefunguliwa sijamuona kabisa akikoment popote na si kawaida yake.
Si vibaya kulizana maana shetani ameshika hatam
Huyu ndiye anayenipa mawazo kwa sasa, mara ya mwisho nanusa harufu ya uwepo wake ni 8 Oktoba na hii si kawaida yake kabisa.min -me yuko wapi huyu mdau