Hivi Member wa JF mpaka Saa 7 hii Kasoro hujalala ukiitwa Mchawi au Mpiga Chabo au Kibaka utakataa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ujumbe huu umfikie yoyote yule aliye macho hadi hivi sasa na yuko online akitiririka na kuserereka. Na ' Uzi ' huu kamwe haumuhusu mletaji wake kwani nimeamka tu mara moja niende Msalani nimeanzisha tu huu ' Uzi ' natoka zangu humu sasa hivi nawaacha Wachawi, Wapiga Chabo na Vibaka muendelee.

Nawasilisha.
 
Mkuu.... Nitaitwaje mchawi ilihali nipo ndani kwangu tena kitandani? Na kivipi niitwe kibaka ilihali nipo ndni kwangu? Labda kama najiibia mwenyewe.
 
Ila ujue tu JF ni dunia nzima wengine saa hizi ndiyo wanapata breakfast. JF hailali

Ujumbe huu umfikie yoyote yule aliye macho hadi hivi sasa na yuko online akitiririka na kuserereka. Na ' Uzi ' huu kamwe haumuhusu mletaji wake kwani nimeamka tu mara moja niende Msalani nimeanzisha tu huu ' Uzi ' natoka zangu humu sasa hivi nawaacha Wachawi, Wapiga Chabo na Vibaka muendelee.

Nawasilisha.
 
hahahajaja.
mkuuu em mwambie Leo tunaenda pande zip kutupia madude
tukikiwasha kutoka hapa "" brake ya kwanza mpaka gamboshi "" tunakwenda kule ..kununua uchawi mpya"" toka Congo"" tukitoka huko mishale ya 2 : 30 tunarusha ungo mpaka tanga "" hapa karibu na daraja la wami"maeneo ya sadani kuna ajali tunapaswa kusababisha pale kisha" tutahudhuria karamu bab kubwa pale ya kula Nyama za watu" hii karamu itafanyika ktika kitongoji cha miono"" baada ya hapo tutarejesha msafara nyumbani "" bila shaka itakuwa imeshatimu mishale ya 4 : 15
 
hahahahha.
tawile mkuu tawileee
 
Back
Top Bottom