Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaaa. Sawa Mshenga usijali.hahahahaha.
unanihusu japo sio kwa asilimia 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. Sawa Mshenga usijali.hahahahaha.
unanihusu japo sio kwa asilimia 100
DIFFENCE>>>DEFENCEhahaaaa naona umejiweka diffence mechanism""
haya karibu tuwange""
umeshindaDIFFENCE>>>DEFENCE
wewe unataka watu walale uwawangie nn? halali mtu hapa we toka msalani ludi ukalale.Ujumbe huu umfikie yoyote yule aliye macho hadi hivi sasa na yuko online akitiririka na kuserereka. Na ' Uzi ' huu kamwe haumuhusu mletaji wake kwani nimeamka tu mara moja niende Msalani nimeanzisha tu huu ' Uzi ' natoka zangu humu sasa hivi nawaacha Wachawi, Wapiga Chabo na Vibaka muendelee.
Nawasilisha.
Usiku kwako kwa wengine mchana ujasoma geography nn,wengine tuko USA,wengine wanafanya Kazi za shift usiku,kwenye station za redio,TV,viwanda ni,madereva wa Magari usiku,manesi,maaskari,nk.Ujumbe huu umfikie yoyote yule aliye macho hadi hivi sasa na yuko online akitiririka na kuserereka. Na ' Uzi ' huu kamwe haumuhusu mletaji wake kwani nimeamka tu mara moja niende Msalani nimeanzisha tu huu ' Uzi ' natoka zangu humu sasa hivi nawaacha Wachawi, Wapiga Chabo na Vibaka muendelee.
Nawasilisha.