GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ujumbe huu umfikie yoyote yule aliye macho hadi hivi sasa na yuko online akitiririka na kuserereka. Na ' Uzi ' huu kamwe haumuhusu mletaji wake kwani nimeamka tu mara moja niende Msalani nimeanzisha tu huu ' Uzi ' natoka zangu humu sasa hivi nawaacha Wachawi, Wapiga Chabo na Vibaka muendelee.
Nawasilisha.
Wewe ndo kilembwe wa giningi kabisa
Tupoo tunawakilisha
Wengine muda huu tunajiandaa kwenda kazini.
hahaaaa naona umejiweka diffence mechanism""
haya karibu tuwange""
mkuu..nimi Bet ligi ya Blazil mechi zao baadhi zina anza muda huu na nyengine zinaanza saa 9,kwahiyo bado nponpo sana.Kuroga, Kupiga Chabo au Kuwaibia Watu Mkuu?
tukikiwasha kutoka hapa "" brake ya kwanza mpaka gamboshi "" tunakwenda kule ..kununua uchawi mpya"" toka Congo"" tukitoka huko mishale ya 2 : 30 tunarusha ungo mpaka tanga "" hapa karibu na daraja la wami"maeneo ya sadani kuna ajali tunapaswa kusababisha pale kisha" tutahudhuria karamu bab kubwa pale ya kula Nyama za watu" hii karamu itafanyika ktika kitongoji cha miono"" baada ya hapo tutarejesha msafara nyumbani "" bila shaka itakuwa imeshatimu mishale ya 4 : 15hahahajaja.
mkuuu em mwambie Leo tunaenda pande zip kutupia madude
tukikiwasha kutoka hapa "" brake ya kwanza mpaka gamboshi "" tunakwenda kule ..kununua uchawi mpya"" toka Congo"" tukitoka huko mishale ya 2 : 30 tunarusha ungo mpaka tanga "" hapa karibu na daraja la wami"maeneo ya sadani kuna ajali tunapaswa kusababisha pale kisha" tutahudhuria karamu bab kubwa pale ya kula Nyama za watu" hii karamu itafanyika ktika kitongoji cha miono"" baada ya hapo tutarejesha msafara nyumbani "" bila shaka itakuwa imeshatimu mishale ya 4 : 15