hahaaa tawile ""hahahahha.
tawile mkuu tawileee
UELeo sijalala kwa sababu kesho na ingia EU niombeeni uchumi unanifanya nisilale.
Mshenga nimejikuta najiuliza tu. Hivi huu uzi haukuhusu kweli? [emoji85]Nina wasi wasi na usingizi wako.
mbona umeahtuka na kuingia humu Kama sio mwanga ndo muda wako wa kwenda mawindoni????
Mshenga nimejikuta najiuliza tu. Hivi huu uzi haukuhusu kweli? [emoji85]